Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
"'seeing that it is he that has created you in diverse stages?
na hali yeye kakuumbeni daraja baada ya daraja?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
how can you disbelieve in allah? seeing that you were dead and he gave you life.
vipi mnamkanusha mwenyezi mungu na hali mlikuwa wafu akakufufueni!
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
lie not one to another, seeing that ye have put off the old man with his deeds;
msiambiane uongo, kwani ninyi mmekwisha vua ule utu wa kale pamoja na matendo yake yote,
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
and why should we not put our trust in god, seeing that he has guided us in our ways?
na tuna nini hata tusimtegemee mwenyezi mungu, na hali yeye ametuongoa kwenye njia zetu.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
and why should we not put our trust in allah, seeing that he has guided us in our ways?
na tuna nini hata tusimtegemee mwenyezi mungu, na hali yeye ametuongoa kwenye njia zetu.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
how can they benefit from admonition, seeing that a messenger had already come to them explaining things clearly?
nini faida ya kukumbuka kwao? na alikwisha wafikia mtume mwenye kubainisha.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
she said, ‘my lord, how shall i have a child seeing that no human has ever touched me?’
maryamu akasema: mola wangu mlezi! vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
and seeing that they guide not themselves thereby, they will say, "this is an (old,) falsehood!"
na walipo kosa kuongoka wakasema: huu ni uzushi wa zamani.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
she said, ‘how shall i have a child seeing that no human being has ever touched me, nor have i been unchaste?’
akasema: nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
god that made the world and all things therein, seeing that he is lord of heaven and earth, dwelleth not in temples made with hands;
mungu, aliyeumba ulimwengu na vyote vilivyomo, ni bwana wa mbingu na nchi; yeye hakai katika hekalu zilizojengwa na watu.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
wherefore, beloved, seeing that ye look for such things, be diligent that ye may be found of him in peace, without spot, and blameless.
kwa hiyo wapenzi wangu, mkiwa mnangojea siku ile, fanyeni bidii kuwa safi kabisa bila hatia mbele ya mungu, na kuwa na amani naye.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
"what cause can we have not to believe in allah and the truth which has come to us, seeing that we long for our lord to admit us to the company of the righteous?"
na kwa nini tusimuamini mwenyezi mungu na haki iliyo tujia, na hali tunatumai mola wetu mlezi atuingize pamoja na watu wema?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
how (can there be such a league), seeing that if they get an advantage over you, they respect not in you the ties either of kinship or of covenant?
itakuwaje! nao wakikushindeni hawatazami kwenu udugu wala ahadi.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
how is it with you, that you do not eat of that over which god's name has been mentioned, seeing that he has distinguished for you that he has forbidden you, unless you are constrained to it?
na kwa nini msile katika walio somewa jina la mwenyezi mungu, naye amekwisha kubainishieni alivyo kuharimishieni, isipo kuwa vile mnavyo lazimishwa? na hakika wengi wanapoteza kwa matamanio yao bila ya kuwa na ilimu.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
can ye (o ye men of faith) entertain the hope that they will believe in you?- seeing that a party of them heard the word of allah, and perverted it knowingly after they understood it.
mnatumai watakuaminini na hali baadhi yao walikuwa wakisikia maneno ya mwenyezi mungu, kisha wakayabadili baada ya kuwa wameyafahamu, na hali wanajua?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
seeing that they did reject faith (entirely) before, and that they (continually) cast (slanders) on the unseen from a position far off?
na hapo kabla yake waliikataa, na wakiyatupilia mbali maneno ya ghaibu kutoka mahali mbali.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
how can ye reject the faith in allah?- seeing that ye were without life, and he gave you life; then will he cause you to die, and will again bring you to life; and again to him will ye return.
vipi mnamkanusha mwenyezi mungu na hali mlikuwa wafu akakufufueni! kisha atakufisheni, tena atakufufueni, kisha kwake mtarejeshwa?.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
the unbelievers will be addressed: "greater was the aversion of allah to you than (is) your aversion to yourselves, seeing that ye were called to the faith and ye used to refuse."
kwa hakika wale walio kufuru watanadiwa: bila ya shaka kukuchukieni mwenyezi mungu ni kukubwa kuliko kujichukia nyinyi nafsi zenu, mlipo kuwa mnaitwa kwenye imani nanyi mkakataa.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
also (prohibited are) women already married, except those whom your right hands possess: thus hath allah ordained (prohibitions) against you: except for these, all others are lawful, provided ye seek (them in marriage) with gifts from your property,- desiring chastity, not lust, seeing that ye derive benefit from them, give them their dowers (at least) as prescribed; but if, after a dower is prescribed, agree mutually (to vary it), there is no blame on you, and allah is all-knowing, all-wise.
na mmehalilishiwa wasio kuwa hao, mtafute kwa mali yenu kwa kuowa pasina kuzini. kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Se han ocultado algunas traducciones humanas de escasa relevancia para esta búsqueda.
Mostrar los resultados de escasa relevancia para esta búsqueda.