Usted buscó: soccer boots (Inglés - Suajili)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

soccer boots

Suajili

buti za mpira wa miguu

Última actualización: 2023-06-15
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

soccer

Suajili

mpira wa miguu

Última actualización: 2011-06-19
Frecuencia de uso: 5
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

football boots

Suajili

buti za soka

Última actualización: 2022-07-29
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

so, this is our destined victory, in soccer…

Suajili

kwa hivyo, huu ni ushindi wetu tuliopangiwa, kwenye kandanda...

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

we have cleared a soccer field for helicopter landing.

Suajili

tumeondoa kila kitu kutoka kwenye uwanja wa mpira ili kuruhusu helikopta kutua hapo.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

south africa: soccer against xenophobia · global voices

Suajili

afrika kusini: kandanda ili kupinga ubaguzi

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

soccer fans holding vuvuzelas watching the opening game of the world cup.

Suajili

mashabiki wa soka waliobeba mavuvuzela wakitazama mchezo wa ufunguzi wa kombe la dunia.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

this money may be sorely needed to make changes to its soccer association.

Suajili

fedha hizo zinawezakutumika kuleta mabadiliko kwenye chama cha mchezo wa mpira wa miguu cha nchi hiyo.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

anyone who has been to a live soccer match knows that it is an event of experiences.

Suajili

yeyote ambaye amewahi kuhudhuria mechi anajua kwamba hilo huwa tukio la kujua mambo mengi tofauti.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

the global soccer body fifa has revealed internal divisions about cracking down on racism at the tournament.

Suajili

chombo kikuu cha kandanda duniani fifa kimeonyesha migawanyiko ya ndani kwa ndani kuhusu kupambana na ubaguzi wa rangi kwenye mashindano haya.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

soccer fans gathered in bars and restaurants around the globe to watch the final game of the world cup last night.

Suajili

mashabiki wa soka kote ulimwenguni walikusanyika kwenye kumbi za baa na migahawa ili kushuhudia mechi ya fainali za kombe la dunia usiku wa jumapili iliyopita.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

but we ought to ask ourselves if there are any long-term measures to get kenyan soccer on track.

Suajili

lakini pia yatunafaa kujiuliza kama kuna malengo ya muda mrefu ya kurudisha kandanda ya kenya mahali pake.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

never again they should put their boots on our dignity, never again to attempt to assault our psychophysical integrity.

Suajili

kamwe hawataweza kuweka mabuti yao juu ya utu wetu, kamwe hawatojaribu kudhalilisha uadilifu wetu wa kiakili na kimwili.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

a short video interview about the tournament organized by the refugee vi soccer team is to raise awareness about the issue of xenophobia in south africa.

Suajili

mahojiano mafupi ya video kuhusu mashindano yaliyoandaliwa na timu ya mpira wa miguu ya refugee vi soccer ynakusudia kuelimisha umma juu ya suala la ubaguzi dhidi ya wageni nchini afrika kusini.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

i'm one of the haters, and i can't comprehend someone who actually enjoys watching soccer on tv liking them.

Suajili

mimi ni mmoja wa wanaolichukia, siwezi kumuelewa yeyote ambaye anafurahia kuangalia soka kwenye televisheni ambaye anayapenda (mavuvuzela).

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

lots of things — hell, lots of people — are loud and annoying, even (especially) at soccer matches.

Suajili

ni mambo mengi – naam, watu wengi – wana kelele na wanaudhi, na hata (hasa) kwenye mapambano ya soka.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

in a video released monday, august 12, the soccer team grêmio of porto alegre brought together some of the key players on its roster, white and black, to talk about racism.

Suajili

katika video iliotolewa jumatatu, agosti 12, timu ya soka ya grêmio of porto alegre ilileta pamoja baadhi ya wachezaji muhimu kwenye orodha ya majina yake, weupe na weusi, kwa majadiliano juu ya ubaguzi wa rangi.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

resume normal boot

Suajili

endeleza kuwaka wa mwanzo(kawaida)

Última actualización: 2014-08-15
Frecuencia de uso: 3
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,778,245,603 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo