Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
there are still so many unjustly imprisoned.
bado kuna wafungwa wengi walioonewa.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
you will not be treated the slightest bit unjustly.
wala hamtadhulumiwa hata uzi wa kokwa ya tende.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
what is wrong with you that you judge (so unjustly)?
basi nyinyi mna nini? mnahukumu namna gani?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
if he is slain unjustly, we have given his heir authority.
na aliye uliwa kwa kudhulumiwa basi tumempa madaraka mrithi wake.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
blame lies on those who oppress, and terrorise the land unjustly.
bali lawama ipo kwa wale wanao wadhulumu watu, na wanafanya jeuri katika nchi bila ya haki.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
but when he rescues them, they commit excesses in the land unjustly again.
lakini akisha waokoa, mara wanafanya jeuri tena katika nchi bila ya haki.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
but when he delivers them, lo! they are unjustly rebellious in the earth.
lakini akisha waokoa, mara wanafanya jeuri tena katika nchi bila ya haki. enyi watu!
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
if someone is killed unjustly, we have given his next of kin certain authority.
na aliye uliwa kwa kudhulumiwa basi tumempa madaraka mrithi wake.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
and your lord would not have destroyed the cities unjustly while their people were reformers.
wala hakuwa mola wako mlezi wa kuihiliki miji kwa dhulma tu na hali watu wake ni watenda mema.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
that is because your lord will not destroy villages unjustly, while their inhabitants were inattentive.
hayo ni kwa sababu ya kuwa mola wako mlezi hakuwa wa kuiangamiza miji kwa dhulma, hali wenyewe wameghafilika.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
they did not say this to you except to unjustly argue; in fact they are a quarrelsome people.
hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu. bali hao ni watu wagomvi!
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
and each person will be paid in full what he has earned? and they will not be dealt with unjustly.
na kila nafsi italipwa kama ilivyo chuma, bila ya kudhulumiwa.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
and we shall set up balances of justice on the day of resurrection, then none will be dealt with unjustly in anything.
nasi tutaweka mizani za uadilifu kwa siku ya kiyama. basi nafsi haitadhulumiwa kitu chochote.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
after those we sent forth moses with our signs to pharaoh and his nobles, but they dealt with our signs unjustly.
kisha baada yao tukamtuma musa na ishara zetu kwa firauni na waheshimiwa wake. nao wakazikataa.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
and because they practised usury although it had been forbidden them; and for using others' wealth unjustly.
na kuchukua kwao riba, nao wamekatazwa, na kula kwao mali ya watu kwa dhulma.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
i will record what they say, and their killing the prophets unjustly, and i will say: taste the chastisement of burning.
tumeyaandika waliyo yasema, na pia kuwauwa kwao manabii bila ya haki, na tutawaambia siku ya kiyama: onjeni adhabu ya kuungua.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
and fear the day when ye shall be brought back to allah. then shall every soul be paid what it earned, and none shall be dealt with unjustly.
na iogopeni siku ambayo mtarudishwa kwa mwenyezi mungu, kisha kila nafsi italipwa ilicho chuma. nao hawatadhulumiwa.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
and (as for) these towns, we destroyed them when they acted unjustly, and we have appointed a time for their destruction.
na miji hiyo tuliwaangamiza watu wake walipo dhulumu. na tukawawekea miadi ya maangamizo yao.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
and they denied them unjustly and proudly while their soul had been convinced of them; consider, then how was the end of the mischief-makers.
na wakazikataa kwa dhulma na kujivuna, na hali ya kuwa nafsi zao zina yakini nazo. basi angalia ulikuwaje mwisho wa mafisadi!
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
(as for) those who swallow the property of the orphans unjustly, surely they only swallow fire into their bellies and they shall enter burning fire.
hakika wanao kula mali ya mayatima kwa dhulma, hapana shaka yoyote wanakula matumboni mwao moto, na wataingia motoni.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad: