Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
già furono genti agiate,
hakika hao walikuwa kabla ya haya wakiishi maisha ya anasa.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
invero furono tra i perdenti.
hakika hao wamekuwa ni wenye kukhasirika.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
furono sconfitti e sembravano umiliati.
kwa hivyo walishindwa hapo, na wakageuka kuwa wadogo.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
essi furono orgogliosi. era gente perversa.
wakajivuna, na wakawa watu wakosefu.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
lo adottarono come divinità e furono ingiusti.
wakamuabudu, na wakawa wenye kudhulumu.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
già furono derisi i messaggeri che ti precedettero.
na mitume walio kabla yako walikwisha dhihakiwa.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
[tutti] costoro furono ribelli nel mondo
ambao walifanya jeuri katika nchi?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
considera cosa avvenne a quelli che furono ammoniti,
basi hebu angalia ulikuwaje mwisho wa walio onywa.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
tramarono contro di lui, ma furono loro gli umiliati.
basi walitaka kumfanyia vitimbi, lakini tukawafanya wao ndio wa chini.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ma furono orgogliosi e rimasero un popolo di perversi.
nao wakapanda kiburi, na wakawa watu wakosefu.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
e tutti furono stupiti per la grandezza di dio. discepoli
watu wote wakashangazwa na uwezo mkuu wa mungu. wale watu walipokuwa bado wanashangaa juu ya mambo yote aliyofanya, yesu aliwaambia wanafunzi wake,
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ma già non furono increduli di quello che fu dato a mosè?
je!
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
li tacciarono di menzogna e furono tra coloro che vennero annientati.
basi wakawakanusha, na wakawa miongoni mwa walio angamizwa.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
abbiamo forse creato angeli femmine ed essi ne furono testimoni?
au tumewaumba malaika kuwa ni wanawake, na wao wakashuhudia?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
alcuni di loro furono ben diretti, ma la maggior parte fu empia.
basi wapo miongoni mwao walio ongoka, na wengi katika wao ni wapotovu.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
allah non fece loro torto: furono essi a far torto a loro stessi.
wala mwenyezi mungu hakuwa mwenye kuwadhulumu, lakini walikuwa wenyewe wakijidhulumu nafsi zao.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
così furono portati a compimento i cieli e la terra e tutto il loro esercito.
basi mbingu na dunia na jeshi lake lote zikamalizika.
Última actualización: 2013-03-02
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
demmo la loro ricompensa a quanti fra loro credettero, ma molti altri furono empi.
basi wale walio amini katika wao tuliwapa ujira wao. na wengi wao ni wapotovu.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
non fu allah ad essere ingiusto con loro, sono loro che lo furono nei loro stessi confronti.
basi mwenyezi mungu hakuwa mwenye kuwadhulumu, walakini wao walikuwa wakijidhulumu wenyewe.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
il decreto cadrà loro addosso, perché furono ingiusti e non parleranno [più].
na kauli itawaangukia juu yao kwa vile walivyo dhulumu. basi hao hawatasema lolote.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: