Usted buscó: recavano (Italiano - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Italian

Swahili

Información

Italian

recavano

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Italiano

Suajili

Información

Italiano

i suoi genitori si recavano tutti gli anni a gerusalemme per la festa di pasqua

Suajili

wazazi wa yesu walikuwa na desturi ya kwenda yerusalemu kila mwaka wakati wa sikukuu ya pasaka.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Italiano

poi guardai ed ecco l'agnello ritto sul monte sion e insieme centoquarantaquattromila persone che recavano scritto sulla fronte il suo nome e il nome del padre suo

Suajili

kisha nikaona mlima sioni, na mwanakondoo amesimama juu yake; pamoja naye walikuwa watu mia moja arobaini na nne elfu ambao juu ya paji za nyuso zao walikuwa wameandikwa jina la mwanakondoo na jina la baba yake.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Italiano

partì il primo e versò la sua coppa sopra la terra; e scoppiò una piaga dolorosa e maligna sugli uomini che recavano il marchio della bestia e si prostravano davanti alla sua statua

Suajili

basi, malaika wa kwanza akaenda akamwaga bakuli lake juu ya nchi. mara madonda mabaya na ya kuumiza sana yakawapata wote waliokuwa na alama ya yule mnyama, na wale walioiabudu sanamu yake.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Italiano

di recente un monaco è stato sorpreso a filmare alcune donne nude mentre si recavano nel suo monastero per compiere abluzioni sacre, pratica basata sulla credenza che l'acqua dei monaci prevenga eventi negativi o sia di buon auspicio.

Suajili

hivi karibuni , kuna mtawa aliyekamatwa akichukua picha za video za wanawake waliokuwa uchi ambao walikuwa wamekwenda kwenye monasteri ili kujichotea maji yanayoaminika kuwa ya baraka, ambapo inaaminika kwamba maji yanayotolewa na mtawa huyo huwaondolea watu bahati mbaya na kuwafutia mambo yote mabaya.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
8,028,938,160 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo