Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
nessuno può trattenere ciò che allah concede agli uomini in misericordia e nessuno può concedere ciò che egli trattiene.
rehema ambayo mwenyezi mungu anawafungulia watu hapana wa kuizuia. na anayo izuia hapana wa kuipeleka isipo kuwa yeye.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
trattiene poi quella di cui ha deciso la morte e rinvia l'altra fino ad un termine stabilito.
na zile zisio kufa wakati wa kulala kwake, huzishika zilizo hukumiwa kufa, na huzirudisha nyengine mpaka ufike wakati uliowekwa.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
allah trattiene i cieli e la terra affinché non sprofondino, ché, se sprofondassero, nessuno li potrebbe trattenere all'infuori di lui.
hakika mwenyezi mungu ndiye anaye zuilia mbingu na ardhi zisiondoke. na zikiondoka hapana yeyote wa kuzizuia isipo kuwa yeye.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
non hai visto che allah vi ha assoggettato tutto quello che sta sulla terra e la nave che per ordine suo solca i mari? È lui che trattiene il cielo dall'abbattersi sulla terra senza il suo permesso.
je! huoni kwamba mwenyezi mungu amevidhalilisha kwenu viliomo katika ardhi, na marikebu zipitazo baharini kwa amri yake, na amezishika mbingu zisianguke juu ya ardhi ila kwa idhini yake.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad: