Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
et nolite communicare operibus infructuosis tenebrarum magis autem et redarguit
msishiriki katika matendo yasiyofaa, ya giza bali yafichueni.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
nox praecessit dies autem adpropiavit abiciamus ergo opera tenebrarum et induamur arma luci
usiku unakwisha na mchana unakaribia. basi, tutupilie mbali mambo yote ya giza, tukajitwalie silaha za mwanga.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hii sunt fontes sine aqua et nebulae turbinibus exagitatae quibus caligo tenebrarum reservatu
watu hao ni kama chemchemi zilizokauka, kama mawingu yanayopeperushwa na tufani; makao yao waliyowekewa ni mahali pa giza kuu.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
fluctus feri maris despumantes suas confusiones sidera errantia quibus procella tenebrarum in aeternum servata es
watu hao ni kama mawimbi makali ya bahari, na matendo yao ya aibu yanaonekana dhahiri kama vile mapovu ya mawimbi. wao ni kama nyota zinazotangatanga, ambao mungu amewawekea mahali pao milele katika giza kuu.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
si ergo corpus tuum totum lucidum fuerit non habens aliquam partem tenebrarum erit lucidum totum et sicut lucerna fulgoris inluminabit t
basi, kama mwili wako wote una mwanga, bila kuwa na sehemu yoyote yenye giza, mwili huo utang'aa kikamilifu kama vile taa inavyokuangazia kwa mwanga wake."
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
itaque nolite ante tempus iudicare quoadusque veniat dominus qui et inluminabit abscondita tenebrarum et manifestabit consilia cordium et tunc laus erit unicuique a de
basi, msihukumu kabla ya wakati wake acheni mpaka bwana atakapokuja. yeye atayafichua mambo ya giza yaliyofichika, na kuonyesha wazi nia za mioyo ya watu. ndipo kila mmoja atapata sifa anayostahili kutoka kwa mungu.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
quia non est nobis conluctatio adversus carnem et sanguinem sed adversus principes et potestates adversus mundi rectores tenebrarum harum contra spiritalia nequitiae in caelestibu
maana vita vyenu si vita kati yetu na binadamu, bali ni vita dhidi ya jeshi ovu la ulimwengu wa roho; tunapigana na watawala, wakuu na wenye nguvu wanaomiliki ulimwengu huu wa giza.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad: