Usted buscó: gloria (Latín - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Latin

Swahili

Información

Latin

gloria

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Latín

Suajili

Información

Latín

cui est gloria in saecula saeculorum ame

Suajili

kwake yeye uwe utukufu milele! amina.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

vos enim estis gloria nostra et gaudiu

Suajili

naam, ninyi ni utukufu wetu na furaha yetu!

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

gloria in altissimis deo et in terra pax in hominibus bonae voluntati

Suajili

"utukufu kwa mungu juu mbinguni, na amani duniani kwa watu aliopendezwa nao!"

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

propter quod peto ne deficiatis in tribulationibus meis pro vobis quae est gloria vestr

Suajili

kwa hiyo, nawaombeni msife moyo kwa sababu ya mateso ninayopata kwa ajili yenu, maana hayo ni kwa ajili ya utukufu wenu.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

est veritas christi in me quoniam haec gloria non infringetur in me in regionibus achaia

Suajili

naahidi kwa ule ukweli wa kristo ulio ndani yangu, kwamba hakuna kitakachoweza kunizuia kujivunia jambo hilo popote katika akaya.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

dicentes benedictus qui venit rex in nomine domini pax in caelo et gloria in excelsi

Suajili

wakawa wanasema: "abarikiwe mfalme ajaye kwa jina la bwana. amani mbinguni, na utukufu juu mbinguni!"

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

et dixerunt da nobis ut unus ad dexteram tuam et alius ad sinistram tuam sedeamus in gloria tu

Suajili

wakamjibu, "uturuhusu tuketi mmoja upande wako wa kulia na mwingine upande wako wa kushoto katika utukufu wa ufalme wako."

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

deprecantes vos et consolantes testificati sumus ut ambularetis digne deo qui vocavit vos in suum regnum et gloria

Suajili

tuliwapeni moyo, tuliwafarijini na kuwahimiza ili mpate kuishi maisha yampendezayo mungu ambaye aliwaiteni mshiriki utawala na utukufu wake.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

audiens autem iesus dixit eis infirmitas haec non est ad mortem sed pro gloria dei ut glorificetur filius dei per ea

Suajili

yesu aliposikia hivyo akasema, "ugonjwa huo hautaleta kifo, ila ni kwa ajili ya kumtukuza mungu; ameugua ili kwa njia hiyo mwana wa mungu atukuzwe."

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

scrutantes in quod vel quale tempus significaret in eis spiritus christi praenuntians eas quae in christo sunt passiones et posteriores gloria

Suajili

walijaribu kujua nyakati na mazingira ya tukio hilo, yaani wakati alioudokezea roho wa kristo aliyekuwa ndani yao, akibashiri juu ya mateso yatakayompata kristo na utukufu utakaofuata.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

accipiens enim a deo patre honorem et gloriam voce delapsa ad eum huiuscemodi a magnifica gloria hic est filius meus dilectus in quo mihi conplacu

Suajili

sisi tulikuwapo wakati alipopewa heshima na kutukuzwa na mungu baba, wakati sauti ilipomjia kutoka kwake yeye aliye utukufu mkuu, ikisema: "huyu ni mwanangu mpenzi, nimependezwa naye."

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

aptet vos in omni bono ut faciatis voluntatem eius faciens in vobis quod placeat coram se per iesum christum cui gloria in saecula saeculorum ame

Suajili

mungu wa amani awakamilishe katika kila tendo jema ili mtekeleze mapenzi yake; yeye na afanye ndani yetu kwa njia ya kristo yale yanayompendeza mwenyewe. utukufu uwe kwake, milele na milele! amina.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

qui enim me confusus fuerit et mea verba in generatione ista adultera et peccatrice et filius hominis confundetur eum cum venerit in gloria patris sui cum angelis sancti

Suajili

mtu yeyote katika kizazi hiki kiovu na kisichomjali mungu anayenionea aibu mimi na mafundisho yangu, mwana wa mtu atamwonea aibu mtu huyo wakati atakapokuja katika utukufu wa baba yake pamoja na malaika watakatifu."

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

nam gloria nostra haec est testimonium conscientiae nostrae quod in simplicitate et sinceritate dei et non in sapientia carnali sed in gratia dei conversati sumus in mundo abundantius autem ad vo

Suajili

sisi tunajivunia kitu kimoja: dhamiri yetu inatuhakikishia kwamba tumeishi ulimwenguni hapa, na hasa kati yenu, kwa unyenyekevu na unyofu tuliojaliwa na mungu; hatukuongozwa na hekima ya kibinadamu bali neema ya mungu.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

et omnem creaturam quae in caelo est et super terram et sub terram et quae sunt in mari et quae in ea omnes audivi dicentes sedenti in throno et agno benedictio et honor et gloria et potestas in saecula saeculoru

Suajili

nikasikia viumbe vyote mbinguni, duniani, chini kuzimuni na baharini--viumbe vyote ulimwenguni--vikisema: "kwake yeye aketiye katika kiti cha enzi, na kwa mwanakondoo, iwe sifa na heshima na utukufu na enzi milele na milele."

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,781,441,107 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo