Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
oportebat autem eum transire per samaria
na katika safari hiyo ilimbidi apitie samaria.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ipse autem transiens per medium illorum iba
lakini yesu akapita katikati yao, akaenda zake.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
qui autem intrat per ostium pastor est oviu
lakini anayeingia kwa kupitia mlangoni, huyo ndiye mchungaji wa kondoo.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
disseminabatur autem verbum domini per universam regione
neno la bwana likaenea kila mahali katika sehemu ile.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
arbitramur enim iustificari hominem per fidem sine operibus legi
maana mtu hukubaliwa kuwa mwadilifu kwa imani, wala si kwa kutimiza matakwa ya sheria.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
bonum depositum custodi per spiritum sanctum qui habitat in nobi
jambo lile bora ulilokabidhiwa lilinde kwa nguvu ya roho mtakatifu anayeishi ndani yetu.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
adiuro vos per dominum ut legatur epistula omnibus sanctis fratribu
nawahimizeni kwa jina la bwana muwasomee ndugu zetu wote barua hii.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
accipientes autem discipuli eius nocte per murum dimiserunt eum submittentes in sport
lakini wakati wa usiku wanafunzi wake walimchukua, wakamteremsha chini ndani ya kapu kubwa kwa kupitia nafasi iliyokuwako ukutani.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
deo autem gratias qui dedit nobis victoriam per dominum nostrum iesum christu
lakini tumshukuru mungu anayetupatia ushindi kwa njia ya bwana wetu yesu kristo.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
alii quidem per spiritum datur sermo sapientiae alii autem sermo scientiae secundum eundem spiritu
roho humpa mmoja ujumbe wa hekima, na mwingine ujumbe wa elimu apendavyo roho huyohuyo.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad: