Usted buscó: prema (Serbio - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Serbian

Swahili

Información

Serbian

prema

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Serbio

Suajili

Información

Serbio

Šta je tačno "otvaranje prema građanskim medijima"?

Suajili

kusimulia habari za kidijitali kuhusu masuala muhimu kwa jamii.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Serbio

i dodjoše u okolinu gadarinsku koja je prema galileji.

Suajili

wakaendelea na safari, wakafika pwani ya nchi ya wagerase inayokabiliana na galilaya, ng'ambo ya ziwa.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

mudro živite prema onima koji su napolju, pazeæi na vreme.

Suajili

muwe na hekima katika uhusiano wenu na watu wasioamini, mkitumia vizuri kila nafasi mliyo nayo.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

jer i nije slavno što se proslavi s ove strane prema prevelikoj slavi.

Suajili

sasa utukufu mkuu zaidi umechukua nafasi ya ule utukufu uliokuja hapo awali, ambao fahari yake imekwisha toweka.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

a onde beše marija magdalina i druga marija, i sedjahu prema grobu.

Suajili

maria magdalene na yule maria mwingine walikuwa wameketi kulielekea kaburi.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

jer mislim da stradanja sadašnjeg vremena nisu ništa prema slavi koja æe nam se javiti.

Suajili

naona kuwa mateso ya wakati huu wa sasa si kitu kamwe kama tukiyafananisha na ule utukufu utakaodhihirishwa kwetu.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

da se vladate pošteno prema onima što su napolju, i da od njih ništa ne potrebujete.

Suajili

kwa namna hiyo mtajipatia sifa nzuri kutoka kwa wale wasio wakristo, na hamtakuwa na lazima ya kuwategemea wengine kwa mahitaji yenu.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

prema nekim procenama samo 20% populacije u kameronu ima redovan pristup snabdevanju električne energije.

Suajili

kwa mujibu wa makadirio (fr) yasiyorasmi, ni asilimia 20 tu ya idadi ya wa-cameroon wameunganishwa na umeme.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

ako služavka obavlja svakodnevne kućne poslove umesto žene, kako bi se onda trebali odnositi prema služavki?

Suajili

kama katika nafasi ya mke, mfanyakazi wa ndani anafanya kazi zote za ndani, mfanyakazi huyu wa ndani atachukuliwaje?

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

i kad sedjaše na gori maslinskoj prema crkvi, pitahu ga samog petar i jakov i jovan i andrija:

Suajili

yesu alipokuwa ameketi juu ya mlima wa mizeituni akielekea hekalu, petro, yakobo, yohane na andrea wakamwuliza kwa faragha,

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

mapiranjem predloga prema zemljama, temama i alatima digitalnih medija, možemo vam pomoći da počnete proces učenja i razmene.

Suajili

hii inaweza kujumuisha blogu, na mitandao kingine ya kijamii kama twita, zana huru kama audacity kwa ajili ya kuhariri sauti, audioboo, or radioteca.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

i plovivši mnogo dana sporo, i jedva došavši prema knidu, jer nam vetar ne davaše, doplovismo pod krit kod salmone.

Suajili

kwa muda wa siku nyingi tulisafiri polepole, na kwa shida tulifika karibu na nido. kwa sababu upepo ulikuwa bado unatupinga, tuliendelea mbele moja kwa moja tukapitia upande wa krete karibu na rasi salmone ambapo upepo haukuwa mwingi.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

uz nameru da izrazi svoju ljubav prema malali, bušra sidikue – devojčica od 11 godina, piše na svom blogu:

Suajili

ili kuonyesha upendo wake kwa malala, msichana mwenye miaka 11, bushra siddique, anaandika kwenye blogu yake:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

pošto je prema ustavu budizam državna religija, a skoro svi građani kambodže su budisti, razlog za brigu u ovoj zemlji su nedavni izveštaji o padu monaškog morala.

Suajili

kwa kuwa dini ya kibuda ni dini ya dola kwa mujibuwa katiba ya nchi ya kambodia, hasa kwa kuzingatia kwamba karibu raia wote wa kambodia ni wabuda, matukio yaliyoripotiwa hivi karibuni kuhusu kuporomoka kwa maadili nchini humo miongoni mwa watawa ni jambo la kutilia maanani.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

pokušaji da se otkrije poreklo ovog izazova su u toku, ali prema administratoru grupe, jedan od prvih učesnika bio je džejms gensav, koji je govorio na iurok jeziku.

Suajili

jitihada za kuweka kumbukumbu sawa kuhusu asili ya zoezi hili zinaendelea, lakini kwa mujibu wa kiongozi wa kundi hilo, mmoja wa washiriki wa mwanzo kabisa alikuwa james gensaw, aliyekuwa anayezungumza maneno ya lugha ya yurok.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

a sam ja, pavle, molim vas krotosti radi i tišine hristove, koji sam pred vama ponižen prema vama, a kad nisam kod vas, slobodan sam prema vama.

Suajili

mimi paulo mwenyewe ambaye naonekana kuwa mpole nikiwa pamoja nanyi, lakini mkali wakati nikiwa mbali nanyi, nawasihini kwa huruma na wema wake kristo.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

odmah nakon katastrofalnog zemljotresa političari i gradjani iz celog sveta, su požurili da se pridruže izlivu solidarnosti prema haitiju. siromašne zemlje, uključujući mnoge afričke zemlje , ne čine izuzetak.

Suajili

baada ya tetemeko la ardhi, wanasiasa na raia duniani kote wanagombania kujiunga na harakati za mshikamano zinazomiminika kwa ajili ya haiti, na nchi maskini, zikijumuishwa nyingi zilizoko barani afrika, hazijapitwa.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

na platformi twitter, 85% tweetova se piše na jednom od samo osam jezika, prema jednom istraživanju - što baš ne predstavlja tačan odraz kulturne i jezične raznolikosti planete.

Suajili

kwenye mtandao wa twita kwa mfano, asilimia 85 ya twiti zinaandikwa kwa lugha nane pekee, kwa mujibu wa utafiti mmoja - hata hivyo, utafiti huo unaweza usitoe picha halisi ya wingi wa lugha na tamaduni za dunia kwenye mtandao wa intaneti.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

i pored toga što blog politique au senegal , još uvek treba da komentariše i ponudu wade-a i sam zemljotres, objavljen je i to pre izjave wade-a, a koji se odnosi na značaj solidarnosti “od juga prema jugu “: sledeći komentar doktora el hadji malick ndiaye

Suajili

japokuwa blogu ya blog politique au senegal haijatoa maoni yake kuhusu pendekezo la rais wade wala kuhusu tetemeko la ardhi, blogu hiyo ilituma maoni ya dkt. el hadji malick ndiaye juu ya umuhimu wa mshikamano baina ya nchi za kusini, ambayo yalichapishwa kabla ya wade kutoa tangazo lake:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,740,099,772 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo