Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
i umre treæina stvorenja koje ivi u moru, i treæina ladji propade.
theluthi moja ya viumbe vya baharini vikafa na theluthi moja ya meli zikaharibiwa.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
i od ova tri zla pogibe treæina ljudi, od ognja i od dima i od sumpora to izlaae iz usta njihovih.
theluthi moja ya wanaadamu waliuawa kwa mabaa hayo matatu yaani, moto, moshi na kiberiti, yaliyokuwa yanatoka katika vinywa vyao;
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
i drugi andjeo zatrubi; i kao velika gora ognjem zapaljena pade u more; i treæina mora posta krv.
malaika wa pili akapiga tarumbeta yake. na kitu kama mlima mkubwa unaowaka moto ukatupwa baharini. theluthi moja ya bahari ikawa damu,
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
i ime zvezdi bee pelen; i treæina voda posta pelen, i mnogi ljudi pomree od voda, jer behu gorke.
(nyota hiyo inaitwa "uchungu.") basi, theluthi moja ya maji yakawa machungu; watu wengi wakafa kutokana na maji hayo, kwa sababu yaligeuka kuwa machungu.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
i prvi andjeo zatrubi, i posta grad i oganj, smeani s krvlju, i padoe na zemlju; i treæina drva izgore, i svaka trava zelena izgore.
malaika wa kwanza akapiga tarumbeta yake. mchanganyiko wa mvua ya mawe na moto, pamoja na damu, ukamwagwa juu ya nchi. theluthi moja ya nchi ikaungua, theluthi moja ya miti ikaungua, na majani yote mabichi yakaungua.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
i èetvrti andjeo zatrubi, i udarena bi treæina sunca, i treæina meseca, i treæina zvezda, da pomrèa treæina njihova, i treæina dana da ne svetli, tako i noæi.
kisha malaika wa nne akapiga tarumbeta yake. ndipo theluthi moja ya jua, ya mwezi na ya nyota ikapata pigo; hata mwangaza ukapoteza theluthi moja ya mng'ao wake. theluthi moja ya mchana ikakosa mwanga, hali kadhalika na theluthi moja ya usiku.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad: