Usted buscó: trebalo (Serbio - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Serbian

Swahili

Información

Serbian

trebalo

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Serbio

Suajili

Información

Serbio

koliko dugo bi trebalo da traje moj projekat?

Suajili

tazama maswali yanayoulizwa mara nyingi kwa taarifa zaidi.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

ne bi li služavku trebalo tretirati u rangu s ženom?

Suajili

haipaswi mfanyakazi wa ndani kuangaliwa sawa na mke?

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

nije li to trebalo da hristos pretrpi i da udje u slavu svoju?

Suajili

je, haikumpasa kristo kuteswa, na hivyo aingie katika utukufu wake?"

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Serbio

i potrèavši napred, pope se na dud da ga vidi; jer mu je onuda trebalo proæi.

Suajili

hivyo, alitangulia mbio, akapanda juu ya mkuyu ili aweze kumwona yesu, kwa maana alikuwa apitie hapo.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

niti prima ugadjanja od ruku èoveèijih, kao da bi onome trebalo šta koji sam daje svima život i dihanje i sve.

Suajili

wala hatumikiwi kwa mikono ya watu kana kwamba anahitaji chochote kile, kwa maana yeye mwenyewe ndiye anayewapa watu uhai, anawawezesha kupumua na anawapa kila kitu.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

a imaju i jevreji neki iz azije kojima je trebalo da dodju preda te, i da se tuže ako imaju šta na me.

Suajili

lakini kulikuwa na wayahudi wengine kutoka mkoa wa asia; hao ndio wangepaswa kuwa hapa mbele yako na kutoa mashtaka yao kama wana chochote cha kusema dhidi yangu.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

i reèe im: tako je pisano, i tako je trebalo da hristos postrada i da ustane iz mrtvih treæi dan;

Suajili

akawaambia, "ndivyo ilivyoandikwa, kwamba kristo atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka wafu,

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Serbio

reèe mu: da, gospode! ja verovah da si ti hristos, sin božji koji je trebalo da dodje na svet.

Suajili

martha akamwambia, "ndiyo bwana! naamini kwamba wewe ndiwe kristo, mwana wa mungu, yule ajaye ulimwenguni."

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Serbio

ljudi braæo! trebalo je da se izvrši ono pismo što proreèe duh sveti ustima davidovim za judu koji beše pred onima što uhvatiše isusa;

Suajili

akasema, "ndugu zangu, ilikuwa lazima ile sehemu ya maandiko matakatifu itimie, sehemu ambayo roho mtakatifu, kwa maneno ya daudi, alibashiri habari za yuda ambaye aliwaongoza wale waliomtia yesu nguvuni.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Serbio

pokazujuæi i dokazujuæi im da je trebalo hristos da postrada i vaskrsne iz mrtvih, i da ovaj isus kog ja, reèe, propovedam vama, jeste hristos.

Suajili

aliyaeleza na kuonyesha kwamba ilimbidi kristo kuteswa na kufufuka kutoka wafu. akawaambia, "yesu ambaye mimi namhubiri kwenu ndiye kristo."

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Serbio

dok besni rat u gazi, ranije ovog meseca, objavljena je vest o povlačenju izuzetno velike isporuke oružja izraelu od strane sjedinjenih država koja je trebalo da bude obavljena preko jedne privatne luke u astakosu u grčkoj.

Suajili

kiungo hicho kilisababisha wizara itoe majibu rasmi kuwa suala la upitishwaji wa shehena hiyo ya silaha kwenye bandari ya astakos au bandari nyingine yoyote nchini ugiriki siyo "mada muhimu" kadhalika wizara hiyo pia ilikana kilichoripotiwa na vyombo vya habari.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Serbio

novi zakon je izazvao podsmeh na kineskoj najpopularnijoj mikro blogging stranici sina weibo, a mnogi se zezaju da je primena zakona je pod znakom pitanja i da posećivanje roditeljiatreba da bude pitanje morala koje treba podsticati, a ne zakon koji bi trebalo da se sprovode.

Suajili

katika tovuti ya jukwaa maarufu la kublogu la nchini china, sina weibo, sheria hii mpya imeonekana kudhihakiwa ambapo wengi wanakejeli kwa kusema kuwa utekelezaji wa sheria hii una walakini kwani kuwatembelea wazazi lilipaswa kuwa jambo la kijamii lililohitaji uhamasishaji wa kawaida badala ya kushurutishwa kwa sheria.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

postadoh bezuman hvaleæi se: vi me nateraste; jer je trebalo da me vi hvalite; jer ni u èemu nisam manji od prevelikih apostola, ako i jesam ništa.

Suajili

nimekuwa kama mpumbavu, lakini, ninyi mmenilazimisha kuwa hivyo. ninyi ndio mngalipaswa kunisifu. maana, ingawa mimi si kitu, kwa vyovyote, mimi si mdogo zaidi kuliko hao "mitume wakuu."

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Serbio

a pavle i varnava oslobodivši se rekoše: vama je najpre trebalo da se govori reè božja; ali kad je odbacujete, i sami se pokazujete da niste dostojni veènog života, evo se obræemo k neznabošcima.

Suajili

hata hivyo, paulo na barnaba waliongea kwa uhodari zaidi, wakasema, "ilikuwa ni lazima neno la mungu liwafikieni ninyi kwanza; lakini kwa kuwa mmelikataa na kujiona hamstahili uzima wa milele, basi, tunawaacheni na kuwaendea watu wa mataifa mengine.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Serbio

teško vama književnici i fariseji, licemeri, što dajete desetak od metvice i od kopra i od kima, a ostaviste šta je najpretežnije u zakonu: pravdu i milost i veru; a ovo je trebalo èiniti i ono ne ostavljati.

Suajili

ole wenu walimu wa sheria na mafarisayo, wanafiki! mnatoza watu zaka, hata juu ya majani yenye harufu nzuri, bizari na jira, na huku mnaacha mambo muhimu ya sheria kama vile haki, huruma na imani. haya ndiyo hasa mliyopaswa kuyazingatia bila kusahau yale mengine.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,751,195,466 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo