Usted buscó: verom (Serbio - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Serbian

Swahili

Información

Serbian

verom

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Serbio

Suajili

Información

Serbio

i ovi svi dobivši svedoèanstvo verom ne primiše obeæanja;

Suajili

watu hawa wote walionekana kuwa mashujaa kwa sababu ya imani yao. hata hivyo, hawakupokea yale ambayo mungu aliwaahidia,

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

verom blagoslovi isak jakova i isava u stvarima koje æe doæi.

Suajili

kwa imani isaka aliwabariki yakobo na esau, wapate baraka zitakazokuja baadaye.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

mislimo dakle da æe se èovek opravdati verom bez dela zakona.

Suajili

maana mtu hukubaliwa kuwa mwadilifu kwa imani, wala si kwa kutimiza matakwa ya sheria.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

jer je jedan bog koji æe opravdati obrezanje iz vere i neobrezanje verom.

Suajili

mungu ni mmoja, naye atawakubali wayahudi kuwa waadilifu kwa imani yao, na watu wa mataifa mengine pia kwa imani yao.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

mir braæi i ljubav s verom od boga oca i gospoda isusa hrista.

Suajili

ninawatakieni ninyi ndugu amani, upendo na imani kutoka kwa mungu baba na kutoka kwa bwana yesu kristo.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

to jest, da se s vama utešim verom opštom, i vašom i mojom.

Suajili

ndiyo kusema, tutaimarishana: imani yenu itaniimarisha mimi, na yangu itawaimarisha ninyi.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

kvarimo li dakle zakon verom? bože saèuvaj! nego ga još utvrdjujemo.

Suajili

je, tunaitumia imani kuibatilisha sheria? hata kidogo; bali tunaipa sheria thamani yake kamili.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

i ne postavi nikakve razlike medju nama i njima, oèistivši verom srca njihova.

Suajili

hakufanya ubaguzi wowote kati yetu na wao; aliitakasa mioyo yao kwa imani.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

da ne budete lenivi, nego da se ugledate na one koji verom i trpljenjem dobijaju obeæanja.

Suajili

msiwe wavivu, bali muwe kama wale wanaoamini na wenye uvumilivu na hivyo wanapokea yake aliyoahidi mungu.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

a pravda božija verom isusa hrista u sve i na sve koji veruju; jer nema razlike.

Suajili

mungu huwakubali watu kuwa waadilifu kwa njia ya imani yao kwa yesu kristo; mungu hufanya hivyo kwa wote wanaoamini; hakuna ubaguzi wowote.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

ali se još veæma umnoži blagodat gospoda našeg isusa hrista s verom i ljubavi u hristu isusu.

Suajili

lakini bwana wetu alinijalia neema yake kwa wingi, akanipa imani na upendo katika kuungana na kristo yesu.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

dobro! neverstvom odlomiše se, a ti verom stojiš; ne ponosi se, nego se boj.

Suajili

sawa! yalikatwa kwa sababu ya kukosa imani, bali wewe unasimama kwa imani yako. lakini usijivune; ila uwe na tahadhari.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

tako da se mi sami hvalimo vama crkvama božjima, vašim trpljenjem i verom u svim vašim gonjenjima i nevoljama koje podnosite,

Suajili

ndio maana sisi tunajivunia ninyi katika makanisa ya mungu. tunaona fahari juu ya jinsi mnavyoendelea kuamini na kustahimili katika udhalimu wote na mateso mnayopata.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

a pismo videvši unapred da bog verom neznabošce pravda, napred objavi avraamu: u tebi æe se blagosloviti svi neznabošci.

Suajili

maandiko matakatifu yalionyesha kabla kwamba mungu atawakubali watu wa mataifa kuwa waadilifu kwa njia ya imani. hivyo maandiko matakatifu yalitangulia kumtangazia abrahamu habari njema: "katika wewe mataifa yote yatabarikiwa."

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Serbio

da im otvoriš oèi da se obrate od tame k videlu i od oblasti sotonine k bogu, da prime oproštenje greha i dostojanje medju osveæenima verom mojom.

Suajili

utayafumbua macho yao na kuwawezesha watoke gizani na kuingia katika mwanga; watoke katika utawala wa shetani, wamgeukie mungu; ili kwa kuamini, wapate kusamehewa dhambi na kuchukua nafasi yao kati ya wale ambao wamepata kuwa watu wa mungu.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

ali neka ište s verom, ne sumnjajuæi ništa; jer koji se sumnja on je kao morski valovi, koje vetrovi podižu i razmeæu.

Suajili

lakini anapaswa kuomba kwa imani bila mashaka yoyote. mtu aliye na mashaka ni kama mawimbi ya bahari ambayo husukumwa na kutupwatupwa na upepo.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

verom noje primivši zapovest i pobojavši se onog što još ne vide, naèini kovèeg za spasenje doma svog, kojim osudi sav svet, i posta naslednik pravde po veri.

Suajili

kwa imani noa alionywa na mungu juu ya mambo ya baadaye ambayo hakuweza kuyaona bado. alimtii mungu, akajenga ile safina ambamo aliokolewa yeye pamoja na jamaa yake. kutokana na hayo ulimwengu ulihukumiwa, naye noa akapokea uadilifu unaotokana na imani.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

a ja više ne živim, nego živi u meni hristos. a što sad živim u telu, živim verom sina božjeg, kome omileh, i predade sebe za mene.

Suajili

na sasa naishi, lakini si mimi tena, bali kristo anaishi ndani yangu. maisha haya ninayoishi sasa naishi kwa imani, imani katika mwana wa mungu aliyenipenda hata akayatoa maisha yake kwa ajili yangu.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Serbio

pa doznavši da se èovek neæe opravdati delima zakona, nego samo verom isusa hrista, i mi verovasmo hrista isusa da se opravdamo verom hristovom, a ne delima zakona: jer se delima zakona nikakvo telo neæe opravdati.

Suajili

lakini, tunajua kwa hakika kwamba mtu hawezi kukubaliwa kuwa mwadilifu kwa kuitii sheria, bali tu kwa kumwamini yesu kristo. na sisi pia tumemwamini yesu kristo ili tupate kukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya imani yetu kwa kristo, na si kwa kuitii sheria.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,794,720,638 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo