Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
watu wanaotii matakwa ya mwili hawawezi kumpendeza mungu.
فالذين هم في الجسد لا يستطيعون ان يرضوا الله.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kila mmoja wetu anapaswa kumpendeza jirani yake kwa wema ili huyo apate kujijenga katika imani.
فليرض كل واحد منا قريبه للخير لاجل البنيان.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mwanajeshi vitani hujiepusha na shughuli za maisha ya kawaida ili aweze kumpendeza mkuu wa jeshi.
ليس احد وهو يتجند يرتبك باعمال الحياة لكي يرضي من جنّده.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
basi, pasipo imani haiwezekani kumpendeza mungu. kwa maana kila mtu anayemwendea mungu ni lazima aamini kwamba mungu yuko, na kwamba huwatuza wale wanaomtafuta.
ولكن بدون ايمان لا يمكن ارضاؤه لانه يجب ان الذي يأتي الى الله يؤمن بانه موجود وانه يجازي الذين يطلبونه.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hatimaye, ndugu zangu, mmejifunza kutoka kwetu namna mnavyopaswa kuishi ili kumpendeza mungu. na kweli mmekuwa mnaishi hivyo. sasa tunawaombeni na kuwasihi kwa jina la bwana yesu mfanye vema zaidi.
فمن ثم ايها الاخوة نسألكم ونطلب اليكم في الرب يسوع انكم كما تسلمتم منا كيف يجب ان تسلكوا وترضوا الله تزدادون اكثر.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad: