Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
na hapo wale waliokuwa pamoja naye mezani wakaulizana, "ni mtu wa namna gani huyu awezaye kusamehe dhambi?"
فابتدأ المتكئون معه يقولون في انفسهم من هذا الذي يغفر خطايا ايضا.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
kwa hiyo nakwambia amesamehewa dhambi zake nyingi kwa kuwa ameonyesha upendo mkubwa. mwenye kusamehe kidogo, hupenda kidogo."
من اجل ذلك اقول لك قد غفرت خطاياها الكثيرة لانها احبت كثيرا. والذي يغفر له قليل يحب قليلا.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
"anathubutuje kusema hivyo? anamkufuru mungu! hakuna mtu awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mungu peke yake."
لماذا يتكلم هذا هكذا بتجاديف. من يقدر ان يغفر خطايا الا الله وحده.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
walimu wa sheria na mafarisayo wakaanza kujiuliza: "nani huyu anayemkufuru mungu kwa maneno yake? hakuna mtu awezaye kusamehe dhambi ila mungu peke yake!"
فابتدأ الكتبة والفريسيون يفكرون قائلين من هذا الذي يتكلم بتجاديف. من يقدر ان يغفر خطايا الا الله وحده.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
basi, nataka mjue kwamba mwana wa mtu anao uwezo wa kusamehe dhambi duniani." hapo akamwambia huyo mtu aliyepooza, "simama, chukua kitanda chako uende zako nyumbani."
ولكن لكي تعلموا ان لابن الانسان سلطانا على الارض ان يغفر الخطايا قال للمفلوج لك اقول قم واحمل فراشك واذهب الى بيتك.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible