Usted buscó: kuweza (Suajili - Alemán)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

German

Información

Swahili

kuweza

German

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Alemán

Información

Suajili

hivyo ni karibu zaidi kuweza kutambulikana wasiudhiwe.

Alemán

das bewirkt eher, daß sie erkannt werden und daß sie nicht belästigt werden.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hata hivyo, hayo haiwalazimishi wale wenye imani hizo kuweza kuvunja imani zao wenyewe.

Alemán

andererseits ist durch die gerichtsentscheidung niemand gezwungen, gegen seine eigenen Überzeugungen zu handeln.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

dada yako alipo kwenda na akasema: je! nikujuulisheni mtu wa kuweza kumlea?

Alemán

(und erinnere daran), als deine schwester vorbeiging und sagte: "soll ich euch jemanden zeigen, der ihn betreuen kann?"

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

kisha akawaacha, akaenda umbali wa mtu kuweza kutupa jiwe, akapiga magoti, akasali:

Alemán

und er riß sich von ihnen einen steinwurf weit und kniete nieder, betete

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwani hawakuona ya kwamba mwenyezi mungu aliye umba mbingu na ardhi ni mwenye kuweza kuumba mfano wao?

Alemán

haben sie denn nicht gesehen, daß gott, der die himmel und die erde erschaffen hat, die macht hat, ihresgleichen zu erschaffen?

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hebu tuwanyamazishe watu wanaopenda kukosoa kila kitu na tushukuru kwamba kuna utafiti makini unaendelea ili kuweza kupambana na maradhi hayo hatari.

Alemán

lasst uns doch mit dem pessimismus aufhören und dankbar sein, dass aktive forschung betrieben wird um die tödliche krankheit zu besiegen.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

juian siddle, kwa upande wake anaeleza kwamba bara la afrika lina kila kinachohitajika kuweza kuwa kituo kikuu cha sayansi duniani:

Alemán

und nun erklärt noch juian siddle, warum der afrikanische kontinent alles nötige hat, um zum nächsten weltweit bedeutenden netzwerk der wissenschaften zu werden:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mtu huyo alikuwa anamsikiliza paulo alipokuwa anahubiri. paulo alimtazama kwa makini, na alipoona kuwa alikuwa na imani ya kuweza kuponywa,

Alemán

der hörte paulus reden. und als dieser ihn ansah und merkte, daß er glaubte, ihm möchte geholfen werden,

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

maombi yanayoweza kukubaliwa ni yale yanayokusudia kubuni huduma mpya zitakazotumia teknolojia ya habari na mawasiliano kwa njia za kiubunifu ili kuweza kukidhi mahitaji ya watoto na vijana katika jamii zao.

Alemán

förderungswürdige projekte werden neue dienste entwickeln, die informations- und kommunikationstechnik in innovativer weise nutzen, um die bedürfnisse der kinder und jugendlichen in ihren gemeinschaften anzusprechen.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa kuweza kung'amua maangalizo, vitisho, kukamatwa na kuteswa hakujanifanya niache kutumia haki zangu za kujieleza na hata wakifanya hivi kwa siku zijazo.

Alemán

ich nehme dieses recht verantwortungsbewusst wahr, ohne die rechte der anderen zu verletzen und ich will nirgendwo darauf verzichten.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kuratibu vilivyopo kwenye mtandao siku hizi inaonekana kama ni kitendo kinachopinga demokrasia lakini serikali za kusini mashariki mwa asia zinaonekana kuweza kuhalalisha vitendo hivyo kwa kudai kuwa vinatokana na haja ya kuwaepusha vijana na majanga ya tabia za ngono za hovyo hovyo.

Alemán

heutzutage wird die regulierung von internetinhalten als anti-demokratisch angesehen, aber südostasiatische regierungen scheinen solches verhalten mit der schutzbedürftigkeit der jugend vor unanständigen sexuellen handlungen rechtfertigen zu können.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mara nyingine huwa ninamshuhudia bibie b akifanya matambiko ya ajabu nyumbani yakiwa na lengo la kuondoa bahati mbaya, na hata ameshawahi kutugharimu kiasi kikubwa cha fedha ili kuijenga upya milango ya mbele na nyuma ya nyumba yetu ili kuweza kunasa bahati nzuri katika nyumba yetu kupitia miungu wazuri wa feng shui.

Alemán

manchmal ertappe ich frau b dabei, wie sie zuhause seltsame rituale durchführt, um unglück fernzuhalten, und sie hat uns bereits durch die verlegung der vorder- und hintertür viel geld gekostet, was dazu führen soll, durch gutes feng shui das glück im haus einzufangen.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

na pia, inashangaza, kwa upande mwingine, pale mtu anapoona kuwa ndoto zake zimekamilika, and it is surprising when, on the contrary, someone sees their dream come true, wale waliofaninikwa kupia mziki, wale waliojijengea ujuzi viwandani, wale waliosoma na kuweza kujiajiri.

Alemán

und surprising ist es, wenn einige es dagegen tatsächlich schaffen, ihre träume zu verwirklichen, entweder durch musik (wie clay 2 nine, der hier auf englisch seine geschichte erzählt), durch eine karriere in einer fabrik oder durch weiterbildung und die aufnahme einer freiberuflichen arbeit.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,749,040,709 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo