Usted buscó: kufufuka (Suajili - Esperanto)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

Esperanto

Información

Swahili

kufufuka

Esperanto

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Esperanto

Información

Suajili

lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulieni galilaya."

Esperanto

tamen, post mia relevigxo mi iros antaux vi en galileon.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

lakini kuhusu suala la wafu kufufuka, hamjasoma yale aliyowaambieni mungu?

Esperanto

sed pri la relevigxo el la mortintoj, cxu vi ne legis tion, kio estis dirita al vi de dio, nome:

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hii ilikuwa mara ya tatu yesu kuwatokea wanafunzi wake baada ya kufufuka kutoka wafu.

Esperanto

tiu estas jam la tria fojo, kiam aperis jesuo al siaj discxiploj, post sia relevigxo el la mortintoj.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

basi, wakashika agizo hilo, lakini wakawa wanajadiliana wao kwa wao maana ya kufufuka kutoka wafu.

Esperanto

kaj ili konservis la diron, demandante inter si, kion signifas la relevigxo el la mortintoj.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

maana kama vile kifo kilivyoletwa duniani na mtu mmoja, vivyo hivyo nako kufufuka kutoka wafu kumesababishwa na mtu mmoja.

Esperanto

cxar tial, ke per homo venis la morto, per homo ankaux venis la relevigxo de la mortintoj.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

nao, baada ya kufufuka kwake, wakatoka makaburini, wakaingia katika mji mtakatifu, wakaonekana na watu wengi.

Esperanto

kaj elirinte el la tomboj post lia relevigxo, ili eniris en la sanktan urbon kaj aperis al multaj.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

si kwa watu wote ila kwa wale mungu aliokwisha wachagua wawe mashahidi wake, yaani sisi tuliokula na kunywa pamoja naye baada ya kufufuka kwake kutoka wafu.

Esperanto

ne al la tuta popolo, sed al atestantoj, kiuj estis elektitaj antauxe de dio, al ni, kiuj mangxis kaj trinkis kun li post lia relevigxo el la mortintoj.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwishowe, yesu aliwatokea wanafunzi kumi na mmoja walipokuwa pamoja mezani. akawakemea sana kwa sababu ya kutoamini kwao na ukaidi wao, maana hawakuwaamini wale waliokuwa wamemwona baada ya kufufuka.

Esperanto

poste li aperis al la dek unu, dum ili sidis cxe mangxo, kaj riprocxis ilian nekredemon kaj korobstinon, cxar ili ne kredis tiujn, kiuj vidis lin levigxintan.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

yaani ilimpasa kristo ateseke na kuwa wa kwanza kufufuka kutoka wafu, ili atangaze kwamba mwanga wa ukombozi unawaangazia sasa watu wote, wayahudi na pia watu wa mataifa mengine."

Esperanto

ke la kristo devas suferi, kaj ke li unua per la revivigado de mortintoj proklamos lumon al la popolo kaj al la nacianoj.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

walipomsikia paulo anasema juu ya jambo la kufufuka kwa wafu, wengine wao waliangua kicheko; lakini wengine walisema, "tunataka kukusikia tena juu ya jambo hili!"

Esperanto

kaj auxdinte pri relevigxo de la mortintoj, unuj mokis; sed aliaj diris:ni auxskultos vin denove pri tio.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

lakini, kwamba kuna kufufuka kutoka wafu, hata mose alithibitisha jambo hilo katika maandiko matakatifu. katika sehemu ya maandiko matakatifu juu ya kile kichaka kilichokuwa kinawaka moto, anamtaja bwana kama mungu wa abrahamu, isaka na yakobo.

Esperanto

sed ke la mortintoj levigxas, moseo mem montris en la arbetajxo, kiam li nomis la eternulon la dio de abraham kaj la dio de isaak kaj la dio de jakob.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,790,971,453 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo