Usted buscó: japo (Suajili - Francés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

French

Información

Swahili

japo

French

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Francés

Información

Suajili

na mkirejea sisi pia tutarejea. na jeshi lenu halitakufaeni kitu, japo likiwa kubwa.

Francés

mais si vous revenez, nous reviendrons, et votre masse, même nombreuse, ne vous sera d'aucune utilité.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mjomba wangu jasim aliniambia mambo yalikuwa mazuri zaidi leo, japo kulikuwa na hofu lakini watu wameanza kupata ahueni.

Francés

mon oncle jasim m'a dit que les choses allaient beaucoup mieux aujourd'hui, il y a encore de la peur mais les gens commencent à se remettre.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kama si mwanachama wa cpy – huna maana kwao kila mtu kwenye facebook ni rafiki yako, japo kuwa huwajui nusu yao.

Francés

si vous n'êtes pas membre du pcy, vous n'êtes personne tous les utilisateurs de facebook sont vos amis, même si vous n'en connaissez même pas la moitié.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

japo huu sio mradi wa kwanza wa aina hii huko afrika ya kusini, waandaaji wanasema haya ni matumizi makubwa zaidi ya simu za viganjani yaliyowahi kujaribiwa ili kutuma taarifa za afya.

Francés

il ne s'agit pas du premier projet de ce type en afrique du sud. mais ses créateurs soulignent qu'il s'agit du plus important en terme de volume des messages de santé.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kila mwana cpy ni swahiba wako,* japo huwajui zaidi ya nusu yao. katika facebook unashabikia matukio mbalimbali bila hata kuinua kidole chako.

Francés

tous les membres du cpy sont des camarades, même si vous n'en connaissez même pas la moitié.* sur facebook vous soutenez plusieurs campagnes et causes sans bouger un doigt.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hata hivyo, kuwepo kwa huduma ya intaneti, japo kwa kiasi kidogo, katika mazingira magumu kama haya tuliyomo, bado ni kama muujiza fulani hivi mdogo - na kampuni ya mulitilink ya hapa haiti inayotoa huduma za intaneti (isp) imechukua jukumu na kuanza kutuma twita hivyo inatoa taarifa zinazohitajika sana na kurusha upya twita zinazoomba taarifa za watu waliopotezana.

Francés

pourtant, un accès partiel à internet dans le contexte d'une dévastation aussi vaste n'est autre qu'un petit miracle - et multilink haïti, l'un des fournisseurs d'accès internet du pays, a pris l'initiative et s'est mis à tweeter, apportant une information très nécessaire et re-tweetant des requêtes pour aider à retrouver des proches.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,747,854,630 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo