Usted buscó: tabasam siku zote (Suajili - Francés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

French

Información

Swahili

tabasam siku zote

French

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Francés

Información

Suajili

hili ndilo linalofanywa na madikteta siku zote.

Francés

c’est ce que les dictateurs font tout le temps.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mungu ni mwema siku zote na siku zote anaokoa

Francés

dieu est toujours bon et toujours sauvé.

Última actualización: 2024-03-02
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

"siku zote mogadishu imekuwa nyumbani kwangu moyoni.

Francés

"mogadiscio a toujours été mon chez moi dans mon cœur.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

nakupenda wewe tu mpenzi wangu naomba uwe na mimi siku zote

Francés

je t'aime

Última actualización: 2023-05-22
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa unyofu na uadilifu mbele yake, siku zote za maisha yetu.

Francés

en marchant devant lui dans la sainteté et dans la justice tous les jours de notre vie.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

huu ni usiku wa kuogofya kuliko siku zote kwenye maisha yangu.

Francés

c’est la nuit la plus effrayante de ma vie.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

tunajua hawa mashoga na wasagaji wamekuwa siku zote sehemu ya jamii yetu.

Francés

nous savons que les homos et lesbiennes ont toujours fait partie de notre société.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

vyombo vya habari siku zote hukuza hali ya mambo, kumbuka kwamba hofu huuza.

Francés

les médias amplifient presque toujours la situation, souvenez-vous que la peur fait vendre.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

niliweza kupata chupa mbili za maji ambazo ndizo zilizonifanya nikawa hai kwa siku zote hizi.

Francés

j’ai pu ainsi ramasser deux bouteilles et les faire durer tout ce temps- là.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mtizamo na fikra hizo siku zote hutaka jambo la ziada na upendeleo usio wa lazima kutoka kwa wake.

Francés

cette mentalité exige toujours quelque chose de plus et une faveur indue de la part des épouses.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wafanyakazi hao wanadai kuwa siku zote wamekuwa wawazi kwa malaka za moroko kuhusu ukristu wao, na hapajatokea tatizo lolote.

Francés

les membres de l'équipe affirment n'avoir jamais caché leurs identités chrétiennes aux autorités marocaines, sans que cela ne crée de problème.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

sasa ninapofikiri tukio hilo, leo -kesho, na siku zote -kila mmoja afanye hivyo hivyo.

Francés

maintenant que j'y pense, aujourd'hui - demain, toujours - tout le monde devrait faire de même.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

na ndivyo unavyojifunza kwamba watoto wote wa ki-afrika wana matumbo ya utapiamlo huku nyuso zao zikizungukwa na mainzi siku zote.

Francés

et c'est ainsi que nous avons appris que tous les enfants africains ont le ventre gonflé et des mouches sur le visage toute la journée.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ninakupa zawadi ya kukushukuru kwa uvumilivu na fadhili zako. lakini pia kwa kunisaidia kukua na kuandamana. lakini samahani kama siku zote sijakuwa mtulivu na makini sana

Francés

je t'offre un cadeau pour te remercier de ta patience et de ta gentillesse. mais aussi pour m'avoir aide à grandir et accompagner. mais excusez moi si je n'ai pas été toujours très calme et attentif attentive

Última actualización: 2023-10-02
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

alitahadharisha kwamba kwa sababu miamba iliyo chini ya india inaendelea kusukuma kuelekea bara asia, basi myanmar haina budi kuwa kwenye tahadhari siku zote na hasa kwa siku za usoni.

Francés

il a aussi mis en garde qu'en raison de la poussée continue de la plaque indienne contre l'asie, le myanmar devrait rester en alerte sismique à l'avenir.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mtu anaweza kufikiria siku fulani kuwa ya maana zaidi kuliko nyingine; mtu mwingine aweza kuzifikiria siku zote kuwa sawa. kila mmoja na afuate msimamo wa akili yake.

Francés

tel fait une distinction entre les jours; tel autre les estime tous égaux. que chacun ait en son esprit une pleine conviction.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

"enyi wakaidi wakuu! mioyo na masikio yenu ni kama ya watu wa mataifa. ninyi ni kama baba zenu. siku zote mnampinga roho mtakatifu.

Francés

hommes au cou raide, incirconcis de coeur et d`oreilles! vous vous opposez toujours au saint esprit. ce que vos pères ont été, vous l`êtes aussi.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

siku zote nilipenda kupita mbele ya walinzi wa makaburi; waliovalia mavazi ya kitamaduni ya rangi ya chungwa iliyokoza na kuegemea mti mkubwa ulikuwa mbele, walisubiri bila kuchoka ili kusalimu wageni wanaofuatia.

Francés

j'ai toujours adoré passer à côté des gardes des tombeaux ; vêtus de la robe traditionnelle couleur safran et appuyés contre le gros arbre à l'entrée, ils attendaient patiemment de saluer le prochain groupe de visiteurs.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

haipo wazi kwangu iwapo hatua hii ya serikali inapata imetokana na fikra yake kuwa chanzo cha umasikini ni idadi kubwa sana ya watu nchini ufilipino na hivyo ni lazima kasi ya kuzaliana ipunguzwe (n.b.: siku zote huwa naamini kuwa msingi mkuu wa umasikini ni ubadhilifu na rushwa pia uharibifu wa mazingira usiodhibitiwa.)

Francés

je ne comprends pas si cette mesure du gouvernement est dictée par l'idée que la surpopulation est une des principales causes de la grande misère aux philippines et que celle-ci devrait ralentir. (n.b.: je soutiens toujours que les causes de la pauvreté dans le pays sont la magouille et la corruption ainsi que les abus et la destruction sans relâche de l'environnement et des ressources naturelles.)

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Se han ocultado algunas traducciones humanas de escasa relevancia para esta búsqueda.
Mostrar los resultados de escasa relevancia para esta búsqueda.

Obtenga una traducción de calidad con
7,784,518,268 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo