Usted buscó: mwongo (Suajili - Hebreo)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Hebreo

Información

Suajili

mwongo

Hebreo

עשור

Última actualización: 2014-04-10
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

tukisema kwamba hatujatenda dhambi, tutakuwa tumemfanya mungu mwongo, na neno lake halimo ndani yetu.

Hebreo

ואם נאמר כי לא חטאנו לכזב נשימנו ודברו אין בנו׃

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

mtu akisema kwamba anamjua, lakini hazitii amri zake, basi mtu huyo ni mwongo, na ukweli haumo ndani yake.

Hebreo

האמר הכרתיו ואת מצותיו לא ישמר כזב הוא והאמת אין בו׃

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

mwongo ni nani? ni yule anayekana kwamba yesu ni masiha. mtu wa namna hiyo ni adui wa kristo--anamkana baba na mwana.

Hebreo

מי הוא הכזב אם לא המכחש בישוע לאמר כי איננו המשיח זה הוא צר המשיח המכחש באב ובבן׃

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

ninyi hamjapata kumjua, lakini mimi namjua. na, nikisema simjui, nitakuwa mwongo kama ninyi. mimi namjua na ninashika neno lake.

Hebreo

ולא ידעתם אתו ואני ידעתיו ואם אמר לא ידעתי אתו אהיה כזב כמוכם אבל ידעתיו ואת דברו שמרתי׃

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

anayemwamini mwana wa mungu anao ushahidi huo ndani yake; lakini asiyemwamini mungu, anamfanya yeye kuwa mwongo, maana hakuamini ushahidi alioutoa mungu juu ya mwanae.

Hebreo

המאמין בבן האלהים יש לו העדות בנפשו ואשר לא יאמין לאלהים לכזב שמהו יען לא האמין בעדות אשר העיד האלהים על בנו׃

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

mtu akisema kwamba anampenda mungu, hali anamchukia ndugu yake, huyo ni mwongo. maana mtu asiyempenda ndugu yake ambaye anamwona, hawezi kumpenda mungu ambaye hamwoni.

Hebreo

כי יאמר איש אהב אני את האלהים והוא שנא את אחיו כזב הוא כי אשר לא יאהב את אחיו אשר הוא ראה איככה יוכל לאהב את האלהים אשר איננו ראה אתו׃

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

ninyi ni watoto wa baba yenu ibilisi na mnataka tu kutekeleza tamaa za baba yenu. yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo; hana msimamo katika ukweli, kwani ukweli haumo ndani yake. kila asemapo uongo, husema kutokana na hali yake ya maumbile, maana yeye ni mwongo na baba wa uongo.

Hebreo

אתם מן אביכם השטן ולעשות את תאות אביכם חפצתם הוא רוצח נפש היה מראש ובאמת לא עמד כי אמת אין בו מדי דברי כזב משלו ידבר כי כזב הוא ואבי הכזב׃

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Obtenga una traducción de calidad con
7,732,931,392 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo