Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
wakashtuka na kushikwa na hofu wakidhani wameona mzimu.
והמה חתו ונבעתו ויחשבו כי רוח ראו׃
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
umati mkubwa wa watu ulimfuata kwa sababu watu hao walikuwa wameona ishara alizokuwa akifanya kwa kuwaponya wagonjwa.
וילכו אחריו המון עם רב כי ראו אותתיו אשר עשה עם החולים׃
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!"
העם ההלכים בחשך ראו אור גדול וישבי בארץ צלמות אור נגה עליהם׃
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
kama nisingalifanya kwao mambo ambayo hakuna mtu mwingine amekwisha yafanya wasingalikuwa na hatia; lakini sasa wameona niliyoyafanya wakinichukia mimi, wakamchukia na baba yangu pia.
לולא עשיתי בתוכם את המעשים אשר איש זולתי לא עשה לא היה בהם חטא ועתה ראו וישנאו גם אתי גם את אבי׃
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad: