Usted buscó: aliomba (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

@dfkm1970 aliomba pia:

Inglés

@dfkm1970 also prayed:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

swali ni nani aliomba na kufadhili utafiti huu ufanyike?

Inglés

the question is who requested for and subsequently paid for the research to be carried out?

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hatimaye walipomwachilia huru mwaka wa 2008, aliomba abaki kwenye kifungo cha nje.

Inglés

when they eventually released him in 2008, they demanded that he remain on parole.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

isipokuwa kwa wakati mmoja, ambapo, nani mwingine ila polisi, aliomba kupata kitambulisho cha mpiga picha.

Inglés

except at one point, when, who else but the police, went overboard, and asked for the id of a cameramen.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mara baada ya mafunzo yetu, kiongozi wa kundi la vijana lililozaliwa upya aliomba kurudiwa kwa mafunzo hayo kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya ufundi iliyopo zinder.

Inglés

after our training, a reformed gang leader requested an extra restitution session for the students of a vocational school in zinder.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

siku za hivi karibuni, hakimu anayesimamia kesi yagürtel, inayohusu kashfa ya rushwa ya kisiasa nchini uhispania inayowahusisha wanachama wa chama cha umma (pp), aliomba tangu mwaka 1990 kupatiwa nyaraka kufuatia mashaka ya udanganyifu wa taarifa za kiuchumi.

Inglés

global hacktivist group anonymous has leaked the 1990-2011 financial accounts of the governing partido popular (pp) to the internet. recently, the judge overseeing the gürtel case, an ongoing political corruption scandal in spain that implicates pp members, asked for access to the documents dated since 1990 on the suspicion of illegal financing.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

vuguvugu zote mbili, lile la mgomo na lile la maandamano yalichochewa na madai ya hivi karibuni kwamba gazeti hilo limekuwa likijaribu kumchafua rais lula da silva kupitia makala iliyoandikwa na césar benjamin, ambaye alikuwa mtu wa karibu na rais huyo na ambaye sasa ni mwandishi wa makala wa gazeti hilo la folha, ambapo anadai kwamba lula alikiri kuwa mwaka 1994, lula alijaribu kumlazimisha mfungwa mwenzake kufanya ngono alipokuwa amefungwa kwa kosa la kisiasa katika miaka ya 80. pamoja na watu wanaodaiwa kuwepo katika mazungumzo hayo kukataa na hata wale waliofungwa pamoja na lula wakati wa utawala wa kidikteta, ikiwa ni pamoja na mfungwa huyo anayedaiwa kutendewa hayo, mwandishi wa makala aliomba msamaha kwa kosa hilo na gazeti hilo lilitakiwa kuchapisha habari mpya ili kukanusha shutuma hizo siku chache baadae.

Inglés

both the boycott campaign and the demonstration were sparked by the newspaper's latest alleged attempt at character assassination against brazilian president lula da silva, this time by publishing an article by césar benjamin, an ex-ally and current folha columnist, claiming that lula admitted in 1994 he had attempted to sexually subdue a fellow inmate when jailed for political crime in the 80's. with the denial of the other people present at the said conversation and even those jailed with lula during the dictatorship, including the said assaulted inmate, the author of the article apologised for any offense and the newspaper was forced to publish new stories denying the allegations a few days later.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
4,401,923,520 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo