Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
franziska ni sehemu ya vuguvugu linalopinga ubanaji wa vyombo vya habari na anajishughulisha na mambo mbalimbali na asasi mbalimbalizinazopambana na ufuatiliaji, upekenyuzi, ubanaji katika kupeana habari ambavyo vyote vinatishia haki za kiraia.
franziska is part of the anti-censorship movement and is engaged in several activities and organizations which fight against surveillance, data mining, censorship and other threats to civil rights.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kama ilivyokuwa miaka ishirini iliyopita, hakuna ambaye kwa hakika anajishughulisha na mitazamo hii lukuki ya kidini, ambayo inathibitishwa na mjadala kuhusu dini na desturi , ambayo hivi karibuni ililipuka miongoni mwa wanablogu.
as it was twenty years ago, no one is really bothered by this multitude of views, which is evidenced by the debate on religion and traditions, which recently spilled over into the blogosphere.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
majadiliano yote yatakuwa yakiendeshwa na watoa maoni viongozi walioteuliwa, watoa uamuzi na wanachama wa asasi zisizo za serikali, ikiwa ni pamoja na youssou n'dour , mwimbaji maarufu wa kutoka senegali, ambaye anajishughulisha sana na kupiga vita ugonjwa wa malaria, iqbal z. quadir, ambaye ni mwanzilishi wa grameenphone huko bangladesh,na hata ethan zuckerman, ambaye ni mwanzilishi mwenza wa global voices online.
all discussions will be led by featured opinion leaders, decision makers and ngo members, including youssou n'dour , famous senegalese singer, deeply engaged in the fight against malaria, iqbal z. quadir, founder of grameenphone in bangladesh, and even ethan zuckerman, co-founder of global voices online.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: