Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
uzalishaji wa mahindi ni shughuli nyeti katika maeneo yanazalisha dhahabu kama copperbelt pamoja na maeneo mengine muhimu kama mji mkuu, lusaka, ambako idadi kubwa ya watu wanategemea sana mahindi.
the production of maize — or corn as it is known in other parts of the world — is an even bigger issue in the mining region of the copperbelt and metropolitan areas like the capital, lusaka, where large working populations rely on the commercial supply of the product.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mwaka 1986, wa_zambia wanaoishi kwenye majimbo ya copperbelt na lusaka waligoma kwa sababu bei ya mahindi ilikuwa imeongezeka mara dufu wakati kipato walichokuwa wanakipata kilibaki vile kilivyokuwa.
in 1986, zambians in the copperbelt and lusaka regions rioted because the price of maize increased several fold when incomes were stagnant.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: