Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
paka hapendi
Última actualización: 2023-06-15
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
na mwenyezi mungu hapendi ufisadi.
allah does not love corruption.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
wewe ni haga sana
you're too haga
Última actualización: 2024-03-23
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kwa hakika yeye hapendi wanao fanya israfu.
for allah does not like those who go to excess.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mwenyezi mungu hapendi uovu uenezwe kwa maneno ila kwa mwenye kudhulumiwa.
allah does not like speaking evil publicly unless one has been wronged.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kila mtu atendaye maovu anauchukia mwanga, wala haji kwenye mwanga, maana hapendi matendo yake maovu yamulikwe.
for every one that doeth evil hateth the light, neither cometh to the light, lest his deeds should be reproved.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hapendi mwenyezi mungu kukutieni katika taabu; bali anataka kukutakaseni na kutimiza neema yake juu yenu ili mpate kushukuru.
allah does not desire to put you to hardship, but he desires to purify you, and to complete his blessing upon you so that you may give thanks.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
chukueni pambo lenu kwenye kila pahala wakati wa ibada, na kuleni, na kunyweni na wala msifanye ubadhirifu. kwa hakika yeye hapendi wanao fanya israfu.
adorn yourself when you go to the mosque, and eat and drink, and do not cross limits; indeed he does not like the transgressors.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
bwana hakawii kutimiza yale aliyoahidi kama watu wengine wanavyofikiri kuwa atakawia. yeye ana saburi kwa ajili yenu, maana hapendi hata mmoja wenu apotee, bali huwavuta wote wapate kutubu.
the lord is not slack concerning his promise, as some men count slackness; but is longsuffering to us-ward, not willing that any should perish, but that all should come to repentance.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
na mkiwa wagonjwa au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni au mmewagusa wanawake, na hamkupata maji, basi tayamamuni vumbi lilio safi, na mpake nyuso zenu na mikono yenu. hapendi mwenyezi mungu kukutieni katika taabu; bali anataka kukutakaseni na kutimiza neema yake juu yenu ili mpate kushukuru.
but if ye are ill, or on a journey, or one of you cometh from offices of nature, or ye have been in contact with women, and ye find no water, then take for yourselves clean sand or earth, and rub therewith your faces and hands, allah doth not wish to place you in a difficulty, but to make you clean, and to complete his favour to you, that ye may be grateful.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad: