Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
akimnukuu mkosoaji laston nyirenda, wavuti hiyo iliripoti:
quoting whistleblower laston nyirenda, the website reported:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
blogu ya philistine iliripoti kwa haraka juu ya tukio hilo:
the philistine reported quickly on the incident:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
blogu ya syria news wire kadhalika iliripoti kwa haraka ikieleza:
syria news wire also reported quickly, stating:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mwezi machi 2020 china iliripoti matatizo katika usahihi wa vifurushi vya vya upimaji.
in march 2020 china reported problems with accuracy in their test kits.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
blogu ya omg ghana iliripoti kuhusu mafanikio bora ya kielimu ya joshua beckford:
omg ghana reports about joshua beckford's outstanding academic achievement:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
malawi voices iliripoti kuwa viongozi wa jeshi wamekubali kufuata katiba kwa kumuunga mkono joyce banda:
malawi voices reported that army chiefs have agreed to follow the constitution by supporting joyce banda:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
bangladesh iliripoti vifo vipya vya watu watano kutokana na covid-19, visa vya juu zaidi kuripotiwa kila siku
bangladesh reports five new deaths due to covid-19, a daily highest
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
tarehe 20 januari, uchina iliripoti takribani visa vipya 140 kwa siku, pamoja na watu wawili beijing na mmoja katika shenzhen.
on 20 january, china reported nearly 140 new cases in one day, including two people in beijing and one in shenzhen.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
iliripoti kuwa nchi 13 zilikuwa zimeweka hatua za kuzuia ugonjwa ikiwemo kufungwa kwa muda kwa shule na vyuo vikuu, iliyoathiri wanafunzi milioni 290.5 kote duniani.
it reported that 13 countries had enacted preventive measures including the temporary closure of schools and universities, impacting 290.5 million students around the world.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
picha za sata anayedaiwa kuwa mgonjwa ziliposambaa mtandaoni, tovuti moja ya habari mtandaoni, zambian watchdog, iliripoti kwamba rais amepelekwa israel kwa ajili ya matibabu.
when pictures of a seemingly sick sata went viral on social media, one online publication, the zambian watchdog, reported that the president had been evacuated to israel for treatment.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
cbs news iliripoti, ikitaja data ya chuo kikuu cha johns hopkins, kulikuwa na zaidi ya vifo 1,000 nchini marekani siku ya jumatano vilivyosababishwa na maambukizi virusi vya korona.
cbs news reported, citing johns hopkins university data, there were over 1,000 us deaths on wednesday caused by coronavirus infections.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
interaksyon iliripoti kuwa serikali ya uchina ilitoa msaada wa barakoa 200,000 kuelekea ufilipino mnamo 6 februari, baada ya seneta richard gordon alisafirisha barakoa milioni 3.16 hadi wuhan.
interaksyon reported that the chinese government donated 200,000 masks to the philippines on 6 february, after senator richard gordon shipped 3.16 million masks to wuhan.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
tarehe 12 machi 2020, medicago, kampuni ya bioteknolojia katika jiji la quebec, iliripoti maendeleo ya chembe kama ya virusi vya korona chini ya ufadhili wa sehemi kutoka kwa taasisi za kanada za utafiti wa afya.
on 12 march 2020, medicago, a biotechnology company in quebec city, quebec, reported development of a coronavirus-like particle under partial funding from the canadian institutes for health research.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
tovuti ya arretsurimages.net iliripoti kukamatwa kwa mwimbaji maarufu kizito mihigo, mhangan wa mauaji ya kimbari, na watu wengine watatu, akiwemo mwanandishi wa habari kwa tuhuma za kupanga shambulizi la bomu kwenye jengo moja jijini kigali.
the site arretsurimages.net reported the arrest of famous singer kizito mihigo, a genocide survivor, and three other individuals, including a journalist accused of plotting a grenade attack on a building in kigali.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
domain.com, eneo la makazi, iliripoti kwamba baadhi ya wauzaji wa mali walitoa karatasi shashi kwa dalali wa kwanza katika mnanda kule melbourne, wakati minada michache ilifanywa kwa sababu ya wanunuzi kupata likizo kutokana na wikendi mrefu wa siku ya leba.
domain.com, a real estate site, reported some property sellers offering free toilet paper to the first bidder on auctions in melbourne, when fewer auctions were held because of buyers having time off on the long weekend of labour day.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
bashir hazzam ametuhumiwa kwa “kueneza habari za uongo zinazochafua sura ya ufalme kuhusu masuala ya haki za binadamu,” baada ya kutiwa mbaroni mnamo tarehe 8 desemba, iliripoti kamati ya kulinda wanablogu, ikisema:
bashir hazzam has been accused of “spreading false information harmful to the kingdom's image on human rights” after being arrested on december 8th, reported the committee to protect bloggers, stating:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: