Usted buscó: imepelekea (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

imepelekea

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

utoaji wa mafunzo ya kijeshi kwa baadhi ya jamii ya watu wazawa imepelekea kuhama kwa maelfu ya watu wa lumad kutoka mindanao.

Inglés

the militarization of indigenous communities has led to massive evacuations of thousands of lumad across mindanao.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ninaelewa fika haja ya kusogeza mipaka, kwani shauku hiyo imepelekea kupatikana kwa ubunifu wa kazi za hali juu sana na mafanikio ya wakati wote.

Inglés

i definitely understand the need to push the envelope, after all that desire has led to some of the most creative masterpieces and accomplishments of all time.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ikiwa tps imepelekea ongezeko la asilimia 20 kwa wastani wa pesa zinazotumwa na kila mhamiaji, tunaweza kutarajia ongezeko la dola 360 za pesa zinazotumwa kwenda haiti katika 2010.

Inglés

if the tps resulted in a 20 percent increase in the average remittance per migrant, we would expect an additional $360 million remittance flows to haiti in 2010!

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hii imepelekea kuandaliwa kwa matoleo mawili ya video yaliyowahusisha waandaaji kadhaa wa filamu ambao ni wazawa na pia, zikiwa zimesheheni habari za kipekee za kijamii, kitamaduni, pamoja na hali ya kisiasa ya papua ya magharibi.

Inglés

the result was a two-volume video featuring various local filmmakers and unique stories about the social, cultural, and political situation in west papua.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ziara ya kiongozi wa kanisa la katoliki nchini kameruni mwezi huu wa machi 2009 imepelekea baadhi ya wanablogu wa kikameruni kuelekeza tochi zao kwenye matokeo ya kisiasa (kama yapo) yatakayotokana na ziara hiyo ya papa nchini humo.

Inglés

the visit of the head of the roman catholic church to cameroon this march 2009 has ignited some cameroonian bloggers to point the search lights on the political effects (if any) of a papal visit to country like this.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,744,800,951 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo