Usted buscó: imewezeshwa kwa vipashio vya video (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

imewezeshwa kwa vipashio vya video

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

video hii pia inatumia vipande vya video vinavyoonyesha uchaguzi wa marekani 2008, lakini hasa vile vinavyokazia mtazamo wa kigeni.

Inglés

this video also uses footage from other shows on the us elections 2008, but this time concentrating on the foreign perspective.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

vyombo vya habari vinaonyesha video inayoonesha vifaa vilivyookolewa kutoka kwenye eneo la ajali ya kivuko hicho na vipande vya video zilizotengenezwa na wataalamu wakati wa zoezi la ukoaji.

Inglés

the media shows footage of devices deployed at the sewol shipwreck scene and clips of experts during the rescue operation.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kundi la mtandao wa facebook lilianzishwa kukusanya viungo vya video hizo zinazoingizwa, na kwenye ukurasa huo washiriki wanaweza kutuma kazi zao na kuungana na wengine wanaoshiriki zoezi hilo.

Inglés

a facebook group was created to collect links to the videos, where people could share their motivations and connect with others taking part in the challenge.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ili kuwalinda zaidi, timu ya nawaat itakuwa ikifuta taarifa, kama ilivyo kawaida, taarifa zozote zinazoweza kuongeza uwezekano wa kufahamika chanzo cha taarifa katika namna tofauti: sauti, vipande vya video, picha au maandishi kabla ya kuchapisha nyaraka zozote

Inglés

to provide them with further protection, the nawaat team will as usual and before the publication of any leaked confidential document, delete all meta data which increases the possibility of identifying the electronic source of documents in its different formats: audio, video clips, photos or texts

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

makadirio ya vipashio vya muundo wa seir yanaweza kufuatiliwa katika seti kubwa ya data kwa sababu uwezekano wa kuwekwa sambamba na mbinu hizi zimetekelezwa katika maktaba kadhaa ya r; tunanuia kutumia maktaba ya abseir (iliyo kwenye github:https://tinyurl.com/vqu35cj) na abctools (https://tinyurl.com/tfjavz4) ili kukadiria hatua za janga kwa msingi wa kila wiki.

Inglés

estimates of the parameters of the seir model are tractable on large data sets because of parallelizability, and these methods have been implemented in several r libraries; we intend to use the libraries abseir (deposited on github: https://tinyurl.com/vqu35cj) and abctools (https://tinyurl.com/tfjavz4) to estimate epidemic measures on a weekly basis.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Se han ocultado algunas traducciones humanas de escasa relevancia para esta búsqueda.
Mostrar los resultados de escasa relevancia para esta búsqueda.

Obtenga una traducción de calidad con
7,763,173,490 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo