Usted buscó: inapendekeza (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

inapendekeza

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

posti hiyo hiyo inapendekeza utatuzi wa kibunifu zaidi.

Inglés

the same post suggests a more creative solution.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kufikia machi 2020, who inapendekeza ifafanuzi wa visa vifuatavyo:

Inglés

as of march 2020, the who recommends the following case definitions:

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

cdc inapendekeza kwamba wale wanaoshuku kwamba wana virusi hivi wavae barakoa ya kawaida.

Inglés

the cdc recommends that those who suspect they carry the virus wear a simple face mask.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hong kong inapendekeza kuvaa kwa barakoa ya kimatibabu unapotumia usafiri wa umma au kukaa sehemu ambapo kuna watu wengi.

Inglés

hong kong recommends wearing a surgical mask when taking public transport or staying in crowded places.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

trini inapendekeza kwamba kutolewa kwa matokeo haya kunaweza kuchukuliwa kuwa ni ya kiwango cha chini, na yamekuja kwa kuchelewa.

Inglés

a trini speaks suggests that the release of the findings may be a case of too little, too late.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

cdc inapendekeza kufunika mdomo na pua kwa kutumia tishu unapokohoa au kupiga chafya na inapendekeza kutumia ndani ya kiwiko ikiwa hakuna tishu inayopatikana.

Inglés

the cdc recommends covering the mouth and nose with a tissue when coughing or sneezing and recommends using the inside of the elbow if no tissue is available.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

panama imeifanya kuwa lazima kuvaa baragoa kila uendapo nje, ilhali pia inapendekeza utengenezaji wa baragoa nyumbani kwa wale ambao hawawezi kununua baragoa.

Inglés

panama has made it obligatory to wear a face mask whenever going outside, while also recommending the manufacture of a homemade face mask for those who cannot purchase face masks.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

cdc inapendekeza zaidi kutumia kioevu cha mkononi yenye pombe cha kuua viini vya magonjwa chenye angalau asilimia 60 ya pombe kwa kiasi wakati sabuni na maji hazipatikani kwa urahisi.

Inglés

cdc further recommended using an alcohol-based hand sanitizer with at least 60% alcohol by volume when soap and water are not readily available.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

njia inayowezekana ya mageuzi, ya virusi vya korona vya sars na virusi vya korona vya popo, inapendekeza kuwa virusi vya korona vinavyohusiana na sars vilikuwa kwenye popo kwa muda mrefu.

Inglés

a possible path of evolution, of sars coronavirus and keen bat coronaviruses, suggests that sars related coronaviruses coevolved in bats for a long time.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hata hivyo, taasisi ya virolojia ya wuhan, ijapokuwa inapendekeza kipimo cha kila siku cha gramu moja, inabaini kuwa kutumia kiwango hicho mara mbili ni hatari sana na inaweza kusababisha kifo.

Inglés

however, the wuhan institute of virology, while recommending a daily dose of one gram, notes that twice that dose is highly dangerous and could be lethal.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

aina nyingine za mashine za kusaidia kupumua zinaweza kutoa kinga kubwa zaidi na kuboresha starehe ya mfanyakazi. who inapendekeza ovaroli, kwa kuwa covid-19 ni ugonjwa wa mfumo wa kupumua na huambukizwi kupitia vioevu vya mwili.

Inglés

other types of respirators can provide greater protection and improve worker comfort.the who does not recommend coveralls, as covid-19 is a respiratory disease rather than being transmitted through bodily fluids.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hali zingine kama ilivyoonyeshwa na tathmini za hatari za ndani". who inapendekeza kuripoti watu wanaoshukuwa au wamedhibitishwa kuwa na maambukizo ya covid-19 ndani ya saa 48 baada ya utambuzi.

Inglés

other situations as indicated by local risk assessments".who recommends reporting of probable and confirmed cases of covid-19 infection within 48 hours of identification.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

maswali ya mkutano wa wavuti wa mkoa wa amerika je! usrc inafanyaje kazi na itifaki na sheria ya agano la krismasi? agano la krismasi | ct inathibitisha kwamba agano la krismasi linaonyesha kwa usahihi sheria ya ct ambayo inapendekeza kuunda mkutano wa mkoa wa merika. pia hufanya muundo wa mkutano wa mkoa uwe sawa ulimwenguni. kama sheria ya ct usrc, sheria ya agano la krismasi inaunda mchakato wa hatua mbili huko us unaanza na kamati ya muda ya mkoa wa amerika ambayo

Inglés

us regional conference webinar faq how does the usrc work with the protocol and christmas covenant legislation? christmas covenant | the ct affirms that the christmas covenant accurately reflects the ct legislation which proposes creating a u.s. regional conference. it also makes the regional conference structure consistent worldwide. like the ct usrc legislation, the christmas covenant legislation creates a two stage process in the u.s. it starts with an interim u.s. regional committee that

Última actualización: 2020-06-12
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,740,048,722 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo