Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
kilemba chake haazimishi jibu kwa kiswahili
the answer to the swahili language does not
Última actualización: 2023-06-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
bwana ndugai alitoa amri kuwa, kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani atolewe katika ukumbi wa bunge kwa kukataa kutii amri ya kukaa.
mr ndugai ordered that the chadema supremo be kicked out for disregarding his orders to sit down.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
wakati serikali yetu inapowaelezea raia wake waishio ughaibuni katika namna isiyowapamba, kara zhorga ni aina ya jibu kwa ukosoaji wa aina hiyo.”
when our government describes the expatriates in not-so-flattering terms, kara zhorga is a kind of response to such criticism.”
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ingawa, rais abdellahi na washirika wake si malaika, lakini majenerali ghazouani na abdelaziz wanawakilisha kundi baya la kinyonyaji katika utawala wa mauritania, kwa kukataa kuruhusu utawala wa kiraia kutulia madarakani kwa kuwatishia kung'oa kabisa utawala wa kiraia hatimaye.
while president abdellahi and his cronies aren't exactly angels, generals ghazouani and abdelaziz represent the very worst military-parasitic element of the mauritanian regime, and their refusal to let the civilian side of the regime settle down in power threatens to undo it completely in the long run.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Se han ocultado algunas traducciones humanas de escasa relevancia para esta búsqueda.
Mostrar los resultados de escasa relevancia para esta búsqueda.