Usted buscó: kufunikwa (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

kufunikwa

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

"heshima ni kwa wale wasioupa mgongo ukweli, hata pale mabo yanapoonekana kufunikwa na giza na kutokufurahisha" -nelson mandela

Inglés

"honour belongs to those who never forsake the truth, even when things seem dark and grim."-nelson mandela 1969 #rip — anc_lectures (@anc_lectures) december 6, 2013

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

waokoaji wa bangladeshi wakimuokoa mfanyakazi wa kiwanda cha kutengenezea nguo ajulikaye kwa jina la reshma kutoka kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka baada ya kufunikwa kwa vifusi vya jengo hilo kwa siku 17. picha na rehman asad.

Inglés

bangladeshi rescuers retrieve garment worker reshma from the rubble of a collapsed building in savar after 17 days. image by rehman asad.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mgomo huo, ulipangwa na shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini korea, ukiwa na wito wa kusitishwa kwa kudhibitiwa kwa vyama vya wafanyakazi, hatua ya serikali kubinafsisha sekta ya umma na kufunikwa skandali ya wizi wa kura katika uchaguzi wa rais.

Inglés

the demonstration, spearheaded by korean confederation of trade unions, calls halt to a clampdown on labor groups, the government's move towards privatization of public sector and cover-up of the presidential election manipulation scandal.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ismanto kutoka yogyakarta nchini indonesia anabainisha namna mtindo mpya wa kimagharibi wa kula mikahawani unapunguza tabia ya kula "vyakula vya kufunikwa na plastiki" inayofahamika kama 'angkringan':

Inglés

an ismanto from yogyakarta in indonesia observes how new western-style cafes are edging out 'plastic tent-covered food carts' known as 'angkringan':

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,740,828,397 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo