Usted buscó: kushukiwa (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

kushukiwa

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

siku moja kabla, watu wa jordan walionesha mshikamano wao na japan kufuatia isis kushukiwa kutoa video iliyokuwa inaonesha kuchinjwa hadi kufa kwa mwandishi wa habari kenji goto.

Inglés

a day before, jordanians stood in solidarity with japan after isis purportedly released a video beheading journalist kenji goto.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kuna mantiki kwamba usimbaji wa kina wa maelezo kutoka wa watu waliogusana na huduma ya rcgp rsc utapunguza uwezekano wa watu wanaoweza kushukiwa kuwa na visa vya covid-19 kuletwa kwa upasuaji bila kunuia.

Inglés

it is plausible that enhanced coding of information from contacts with the practices in rcgp rsc will reduce the likelihood of people who may be suspected covid-19 cases being brought to the surgery inadvertently.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kazi hizi zinakuwa zenye hatari kubwa ya kuambukizwa ikiwa wafanyakazi wanatekeleza taratibu za kuzalisha aerosoli, au kukusanya au kushughulikia sampiuli kutoka kwa wagonjwa wanaojulikana au kushukiwa wa covid-19.

Inglés

these become very high exposure risk if workers perform aerosol-generating procedures on, or collect or handle specimens from, known or suspected covid-19 patients.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

maafisa wa kutekeleza sheria ambao ni lazima wawasiliane na watu waliothibitishwa au kushukiwa kuwa na covid-19 wanapendekezwa kufuata maelekezo yale kama ya mafundi wa matibabu ya dharura, pamoja na vifaa halisi vya kujikinga.

Inglés

law enforcement officials who must make contact with individuals confirmed or suspected to have covid-19 are recommended to follow the same guidelines as emergency medical technicians, including proper personal protective equipment.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kazi za kuwemo hatarini kwa kiwango cha wastani ni pamoja na zile zinazohitaji kutangamana mara kwa mara au karibu na watu ambao hawajulikani au kushukiwa kuwa na covid-19, lakini huwezekana wameambukizwa kutokana na usambazaji unaoendelea wa jamii au usafiri wa kimataifa.

Inglés

medium exposure risk jobs include those that require frequent or close contact with people who are not known or suspected with covid-19, but may be infected due to ongoing community transmission or international travel.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kazi zenye hatari ya juu ya maambuzi za chumba cha kuhifadhia maiti zinajumuisha wafanyakazi wanaohusika katika kuandaa miili ya watu waliojulikana au kushukiwa kuwa na viwa vya covid-19 wakati wa kuaga kwao; hizi zinakuwa kazi zenye hatari ya juu ya maambukizi ikiwa watatekeleza uchunguzi wa maiti. vidhibiti vya ziada vya uhandisi vya makundi haya ya hatari ni pamoja na vyumba vya kuwatenga wagonjwa vyenye wagonjwa wanaojulikana au kushukiwa kuwa na covid-19, ikiwa ni pamoja na wakati taratibu za kuzalisha aerosoli zinapotekelezwa.

Inglés

high exposure risk mortuary jobs include workers involved in preparing the bodies of people who had known or suspected cases of covid-19 at the time of their death; these become very high exposure risk if they perform an autopsy.additional engineering controls for these risk groups include isolation rooms for patients with known or suspected covid-19, including when aerosol-generating procedures are performed.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,768,982,129 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo