Usted buscó: kusukumwa (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

kusukumwa

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

si jambo la ajabu sasa kuona wapiga picha wa televisheni wakinyunyuziwa maji ya kuwasha au kusukumwa na maafisa wa polisi wakati wakitekeleza shughuli zao.

Inglés

it is not uncommon to see tv station cameramen being pepper sprayed or pushed away by police officers during the news report.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mkutano huu uliitishwa baada ya tukio la mauaji ya kwenye basi la mastung jijini balochistan, ambapo wanamgambo waliwaua abiria 22 wa pashtun kwenye shambulio linalosemekana kusukumwa na chuki za kikabila.

Inglés

the meeting was called in the aftermath of the mastung bus carnage in balochistan, where militants killed 22 pashtun passengers in an ethnically motivated attack.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mnapaswa, lakini kuendelea kuwa imara na thabiti katika imani hiyo, na msikubali kusukumwa mbali na tumaini lile mlilopata wakati mlipoisikia habari njema. mimi paulo nimekuwa mtumishi wa hiyo habari njema ambayo imekwisha hubiriwa kila kiumbe duniani.

Inglés

if ye continue in the faith grounded and settled, and be not moved away from the hope of the gospel, which ye have heard, and which was preached to every creature which is under heaven; whereof i paul am made a minister;

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

siku chache baada ya mapambano makali ya polisi katika taasisi ya elimu ya sekondari ya luis vives mjini valencia , wanafunzi wamekuwa ndio shabaha ya vipigo, kusukumwa na ghasia kutoka kwa polisi wakati wakiwa katika maandamano ya amani, kwa kweli, wakiandamana kupinga ghasia za polisi.

Inglés

just a few days after the brutal police crackdown at the luis vives institute of secondary education in valencia , students have again been the target of beatings, pushing and violence from the police at a pacific protest in which they were, precisely, demonstrating against police violence.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,763,459,383 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo