Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
kama tutaona kesi za vigogo wa mashirika binafsi na ya umma wakiletwa mahakamani, tutaona kwamba utawala wa zuma uko makini katika kutokomeza ufisadi.
if we see more high profile cases of private and public corruption brought to court, we will know the zuma administration is serious about stamping out corruption.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
watumiaji wengi wa mtandao nchini nigeria wameshitushwa sana na ukatili huu wa hivi karibuni, wamemlaumu sana rais goodluck jonathan kwa kutokomeza hali ya utulivu nchini:
many nigerian netizens, shocked by these latest crimes, have blamed president goodluck jonathan for the deteriorating security situation in the country:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hata hivyo, sheria hizi pamoja na mikakati hii bado haijafanikiwa kutokomeza aina mbalimbali za uonevu, umasikini na hali ya kukosa malazi na chakula kunakowakabili watoto wengi.
but these laws and programs have not succeeded in eliminating the various forms of abuse, poverty and deprivation experienced by many children.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
bado wapo katika gereza la wanawake la trichy, wakiwa bado wanashikilia msimamo wa dunia wa “kutokomeza moja ya silaha hatari sana duniani iliyogunduliwa na mwanadamu”.
they are still in the women’s prison of trichy, holding on to their vision of a world that is “free from one of the most toxic of human inventions".
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
lakini bado hajajituma vya kutosha katika kutokomeza kundi hili. — opinion_river (@opinion_river) april 16, 2014
but he has not done enough to crush it — opinion_river (@opinion_river) april 16, 2014
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
chama cha bingu, ddp, kimeshinda uchaguzi wa rais kwa kura takriban 2,730,630 wakati mseto wa mcp/udf uliambulia kura 1,270,057, kura takriban 200, 000 pungufu ya zile za bingu . ujumbe mkuu unaotolewa na takwimu hizi ni kuwa bingu alichaguliwa na taifa zima, na unazua wazo kuwa pengine uongozi bora unaweza kutokomeza sarakani ya ukabila ambayo wengi wetu tulidhani ilikuwa bado inazengea kutafuna siasa na maisha yetu.
bingu’s party, the dpp, won the presidential election with roughly 2,730,630 votes while the mcp/udf alliance scooped circa 1,270,057, almost 200,000 votes below half of bingu’s votes the strong message arising from these figures is that bingu was voted into power by the entire nation, raising postulates about whether good leadership styles could obliterate the tribal cancer that many of us thought was out to consume our political and everyday lives.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: