Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
kuwahi kwenye kipindi
ever been to work?
Última actualización: 2023-06-02
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
tetemeko kubwa kuwahi kutokea nchini japani
largest earthquake in recorded history in japan · global voices
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kuwait: ni maandamano makubwa kabisa kuwahi kutokea?
kuwait: the country's biggest protest? · global voices
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
leila hall anablogu kuhusu gwaride la kwanza la mashoga kuwahi fanyika nchini lesotho:
leila hall blogs about the first-ever gay parade in lesotho:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
idadi ya washiriki ilikuwa kubwa kabisa kuwahi kuonekana tangu matembezi ya kwanza yafanyike mwaka 2003.
the number of participants was one of the largest that the parade has seen since the first was held in 2003.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
aprili 7, niger ilizindua katika mji mkuu wa niamey kituo chake cha kwanza cha treni kuwahi .
on april 7, niger inaugurated in the capital niamey its first train station ever .
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hii ndio hukumu kubwa zaidi kwa watu wengi kuwahi kutolewa kwa wakati mmoja katika historia ya mahakama za misri.
this is the biggest mass death sentence in the history of egyptian judiciary.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mradi wa statoil wa uvunaji wa gesi nchini tanzania ni moja ya miradi mikubwa kabisa kuwahi kutokea kusini mwa jangwa la sahara.
statoil's gas extraction project in tanzania is one of the largest investments ever in sub-saharan africa.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kile ambacho pakistani inakifanya kinyume cha syria ni moja wapo ya mambo ya kijinga kabisa kuwahi kufanywa na pakistani kwa muda mrefu, na ambalo linatuma ujumbe muhimu.
what pakistan is doing vis-a-vis syria is one of the dumbest things pakistan has done in a long time, and that’s really saying something.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
pia alishiriki kuandika moja ya maandishi muhimu zaidi kuwahi kuandikwa kuhusu mitazamo ya kijamii kwa vyombo vya habari katika eneo la mashariki ya kati, ambalo unaweza kulisoma katikatovuti hii bora inayoshirikisha wasomaji wake.
he is also the co-author of one of the most comprehensive studies on social attitudes towards media in the middle east, which you can read here in this fascinating interactive website.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
dhoruba kubwa ya kitropiki ya maring ilisababisha mafuriko makubwa kuwahi kutokea katika metro manila na mikoa ya jirani nchini ufilipino ambayo ilisababisha vifo vya watu 8, majeruhi 41, na 4 wakiwa hawajulikani walipo.
tropical storm maring (international name trami) caused record high floods in metro manila and nearby provinces in the philippines which left 8 people dead, 41 injured, and 4 missing.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
filamu hiyo inachunguza tukio la kukamatwa kwa madawa ya kulevya na polisi, ambalo ni tukio kubwa kuwahi kutokea katika historia ya brazili, ambapo kiasi cha nusu tani za dawa za kulevya kiligundulika kwenye helkopta inayomilikiwa na familia tajiri na yenye nguvu ya perrella.
the documentary investigates one of the largest drug seizures by police in brazil’s history, in which half a ton of cocaine was found in a helicopter belonging to the powerful perrella family.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
"waandamanaji wa montreal wakibeba bendera ndefu ya wa-palestina kuwahi kuonekana duniani wakati wa maandamano ya mshikamano na gaza ijumaa, julai 11, 2014."
"montreal protesters holding the longest palestinian flag in the world during gaza solidarity protest on friday july 11, 2014."
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
mashabiki wa ajentina, wakati huo huo, wanaweza kusherehekea kwa sababu watakuwana fursa ya kutazama timu yao ikicheza dhidi ya ujerumani katika fainali kama lionel messi, mmoja wapo wa wachezaji maarufu zaidi kuwahi kuwepo, atakavyokuwa akicheza na ezekiel lavezzi pembeni mwake kwa kumkabili.
argentina fans, meanwhile, can rejoice because they will have an opportunity to watch their team play against germany in the final as lionel messi, one of the all time greats, plays with heartthrob ezekiel lavezzi beside him in attack.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: