Usted buscó: mahitimisho (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

mahitimisho

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

watu muache kufanya mahitimisho hapa na kuilaani na kukejeli sheria yetu.

Inglés

people mustn't make conclusions here and insult and act pathetic towards our law.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

tunajifunza vizuri kwenye makundi; ni sehemu ya asili yetu kujadili, kufikiri na kutafakari mada mahususi na kufanya mahitimisho.

Inglés

we learn better in groups; it is part of our nature to discuss, think and reflect on a specific topic and draw conclusions.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

tano, hakuna mahitimisho ambayo yangetolewa kuhusu hali sugu ambazo hazikujumuishwa kwenye fomu ya kuripoti visa au kuhusu hali tofauti ambazo ziliripotiwa katika kategoria moja ya jumla.

Inglés

fifth, no conclusions could be drawn about underlying conditions that were not included in the case report form or about different conditions that were reported in a single, umbrella category.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

@iamneshynsky: watu wasikimbilie kufanya mahitimisho na kuhisi ni shambulio la al shabaab...chochote kinawezekana katika tukio hilo #nairobiblast

Inglés

@iamneshynsky: people should stop jumping into conclusion and say its an al shabaab atack..it could be anything at this point #nairobiblast

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

miongoni mwa mahitimisho ya utafiti huo ni pamoja na: 33% ya wanawake wamekuwa wakikabiliana na udhalilishaji na / au unyanyasaji wa kijinsia tangu umri wa miaka 15, wakati asilimia 5 wamebakwa.

Inglés

some of the conclusions of the survey include: 33% of women have experienced physical and/or sexual violence since the age of 15, while 5% have been raped.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hatimaye, kwa baadhi ya hali sugu za afya na vigezo vya hatari, ikiwa ni pamoja na matatizo ya kinyurolojia, ugonjwa sugu wa ini, matumizi ya sigara kwa sasa na ujauzito, matokeo machache ya hali mbaya yaliripotiwa; kwa hivyo, mahitimisho hayawezi kuafikiwa kuhusu hatari ya magonjwa haya kwa covid-19 miongoni mwa watu walio katika vikundi hivi.

Inglés

finally, for some underlying health conditions and risk factors, including neurologic disorders, chronic liver disease, being a current smoker, and pregnancy, few severe outcomes were reported; therefore, conclusions cannot be drawn about the risk for severe covid-19 among persons in these groups.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,776,942,596 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo