Usted buscó: rupiah chafia (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

rupiah chafia

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

tukio la pili lilikuwa ni kushindwa kwa chama tawala cha mmd baada ya kutimiza miaka 20 madarakani na miaka mitatu tu katika ofisi rais aliyekuwepo rupiah banda ambaye alishindwa na michael sata wa pf ambaye alikuwa katika jaribio lake la nne kugombea urais.

Inglés

the second was the defeat of the ruling mmd after clocking 20 years in power and only three years in office of the incumbent president rupiah banda who lost to pf’s michael sata at his fourth attempt at the presidency.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

matamshi hayo yalirejesha upya mjadala wa suala la ushoga ambalo ndilo lililokaribia kabisa kukifanya chama tawala enzi hizo mmd kumwangamiza kisiasa kiongozi wa upinzani wakati huo, sasa rais wa nchi michael sata, wakati wa kampeni za kuelekea uchaguzi wa mwezi septemba ambao ulishuhudia akimbwaga rais wa zamani rupiah banda.

Inglés

his statement brought back into focus the issue of homosexuality for which the then ruling mmd nearly destroyed the then opposition leader, now republican president michael sata, during the campaigns leading to last september’s elections which saw him beat former president rupiah banda.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

rais sata na serikali yake ya chama cha pf wameanika vitendo kadhaa vya kifisadi ambavyo viliendelea katika kipindi cha utawala wa mtangulizi wake, rupiah banda kama vile ununuzi wa magari ya bei mbaya aina ya lexus, kufukuliwa kwa mabilioni ya kwacha kutoka kwenye shamba la waziri wa zamani na skandali nyinginezo ambazo bado bado hazijadhibitishwa.

Inglés

president sata and his pf government have exposed a number of illegal dealings that went on during his predecessor, rupiah banda’s reign such as the purchase of expensive lexus cars, the unearthing of billions of kwacha from a former’s minister’s farm and other scandals most of which are yet to be proved.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Se han ocultado algunas traducciones humanas de escasa relevancia para esta búsqueda.
Mostrar los resultados de escasa relevancia para esta búsqueda.

Obtenga una traducción de calidad con
7,760,898,104 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo