Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
udahili wa vyuo vikuu
federation of universities
Última actualización: 2023-07-19
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
au ni shirikisho la jamhuri ya boko haram.
or federal republic of boko haram.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
vyuo vikuu na shule kote nchini zilifungwa pia.
universities and schools around the country were also closed.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
vyuo vikuu vimefungwa kwa wiki moja, lakini ikaendelea na masomo mtandaoni baadaye.
universities have closed for one week, but resumed with online teaching afterwards.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
tarehe 26 machi, shule na vyuo vikuu zote new zealand zimefungwa kote nchini.
on 26 march, all new zealand schools and universities have been closed down across the country.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
katika jiji la shanghai mwaka 2008, kulikuwa na majaribio 23 ya wanafunzi wa vyuo vikuu kujiua ambayo yalisababisha vifo 19.
in shanghai city 2008, there were 23 college student suicide cases, resulted in 19 deaths.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
austria: jinsi nyenzo za habari za kijamii “zinavyoviwashia moto vyuo vikuu”
austria: how social media set "universities on fire" · global voices
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
je, ulijua kwamba katika wakati huu vyuo vikuu vingi kote ulaya vinakaliwa na wanafunzi?
did you know that at this very moment many universities throughout europe are occupied by students?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
miaka ya hivi karibuni imeshuhudia ongezeko la kujiua miongoni mwa wanafunzi wachina katika vyuo vikuu, hasa wale wa shahada za uzamili na uzamizi.
recent years have seen an increasing number of suicides committed by chinese university students, in particular among postgraduates and doctors.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
janga la virusi vya korona ya 2019-20 imeathiri mifumo ya elimu ulimwenguni, na kusababisha kufungwa kwa shule nyingi na vyuo vikuu.
the 2019–20 coronavirus pandemic has affected educational systems worldwide, leading to the widespread closures of schools and universities.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kuna ripoti ya maandamano katika vyuo vikuu vingine katika mikoa na wale ambao waliamua kujiunga na maandamano wamekosolewa kwa ukali.
there are reports of protests in other universities in provinces and those that have decided not to join the protests are harshly criticized.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hata kama sauti ni mbaya napelekea kukubaliana na safa (shirikisho la mpira wa miguu afrika kusini) katika hili.
even though the noise is awful (horrifying really) i’m inclined to agree with the safa on this one.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
miongoni mwa mamba ya kusisimua katika kampeni za mwaka huu ni pamoja na wanafunzi walio wengi wa vyuo vikuu kuonekana kwamba huenda hawataweza kupiga kura.
one of the controversial issues in this year’s campaigns, it seems, is that most of university students will not be able to vote.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mara nyingi anapenda sana kutumia muda wake kujadili na wanahistoria, wahadhiri wa vyuo vikuu na waandishi. imani yake ni moja ya vipau mbele vyake.
he likes to spend his time in discussions with historians, university lecturers and authors. his faith is important to him.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
elimu rasmi — tofauti na elimu isiyo rasmi — huelekea kurejelea shule, vyuo, vyuo vikuu na taasisi za mafunzo.
formal education — as opposed to informal education or non-formal education — tends to refer to schools, colleges, universities and training institutions.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hii ni “shirikisho la jamhuri ya ethiopia” au ni “jamhuri ya daistopia” (taifa la polisi)?
is it the “federal republic of ethiopia” or the “republic of dystopia” (police state)?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
haha iliitaka serikali kufanya maamuzi kwa kuwashirikisha wadau wakuu wa elimu na kisha kuja na mkakati mzuri wa matumizi ya fedha ili kuwa na uhakika wa ustawi vya vyuo vikuu mara baada ya mahitaji ya udahili kupitiwa upya ili kuboreshwa zaidi.
haha demanded that the government make decisions with the involvement of all stakeholders and come up with a better financial plan to ensure the sustainability of universities after the quotas are set back to a higher level.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
baadhi ya vyuo vikuu bina idara zenye wahadhiri kadri ya 20 hivi, na bado hakuna mwenye shahada ya uzamivu…tumetoka kuhitimisha zoezi la kupitia upya mitaala lililogahrimu mamilioni ya dola za mikamrekani.
some universities have a department with 20 or so academic staff, yet none has a doctoral degree we have just gone through a multimillion-dollar curriculum review exercise.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kukiwa na vyuo vikuu zaidi ya 30 nchini sudan na kukiwa na maongezi ya kushuka kwa kiwango cha elimu na ongezeko la ukosefu wa ajira kati ya wale waliohitimu chuo kikuu, tunashawishika kuamini kuwa vyuo vikuu vimepoteza thamani yake na sasa vinakaribia kutokuwa na thamani yoyote.
with more than 30 universities in sudan and with talk of declining academic standards and rising level of unemployment amongst university graduates in our country, one is led to believe that university education has lost its glitter and is now next to worthless.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mrengo wa kulia wa shirikisho la mageuzi ya mfumo wa uhamiaji marekani (federation for american immigration reform (fair)) umetangaza kupinga utolewaji wa tps kwa raia wa nchi ya haiti.
the right wing federation for american immigration reform (fair) has announced opposition to granting tps for haiti.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: