Usted buscó: tutawajua kwa matendo (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

tutawajua kwa matendo

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

kwa hiyo, mtawatambua kwa matendo yao.

Inglés

wherefore by their fruits ye shall know them.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

bali kwa matendo mema kama iwapasavyo wanawake wamchao mungu.

Inglés

but (which becometh women professing godliness) with good works.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

furaha sio kito kilichoundwa tayari.inakuja kutako kwa matendo yako

Inglés

happiness is not a pre-created jewel

Última actualización: 2021-05-19
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

utafanikiwa vingi katika dunia hii kupitia matendo ya rehema kuliko kwa matendo ya kuadhibu watu

Inglés

"you will achieve more in this world through acts of mercy than you will through acts of retribution" #nelsonmandelaquotes — sagittarius queen (@phin_dee) july 18, 2012

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

waona basi, kwamba imani yake iliandamana na matendo yake; imani yake ilikamilishwa kwa matendo yake.

Inglés

seest thou how faith wrought with his works, and by works was faith made perfect?

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mtawatambua kwa matendo yao. je, watu huchuma zabibu katika miti ya miiba, au tini katika mbigili? la!

Inglés

ye shall know them by their fruits. do men gather grapes of thorns, or figs of thistles?

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

tangu kumwagwa damu ya abeli mpaka kifo cha zakariya ambaye walimuua kati ya madhabahu na mahali patakatifu. naam, hakika kizazi hiki kitaadhibiwa kwa matendo haya.

Inglés

from the blood of abel unto the blood of zacharias, which perished between the altar and the temple: verily i say unto you, it shall be required of this generation.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

maana sote ni lazima tusimame mbele ya kiti cha hukumu cha kristo, ili kila mmoja apokee anayostahili kwa matendo aliyoyafanya wakati alipokuwa anaishi duniani, mema au mabaya.

Inglés

for we must all appear before the judgment seat of christ; that every one may receive the things done in his body, according to that he hath done, whether it be good or bad.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

tunawaomba washirika wetu wote kuunga mkono ujumbe wetu, pamoja na serikali kutoka nchi mbalimbali kuishinikiza serikali ya morocco kuwajibika kwa matendo na mwenendo wake. #justice4morocco

Inglés

we call on allies to support our message, and on foreign governments to hold the moroccan government to account on its actions and principles. #justice4morocco

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

je, ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? basi, aonyeshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri na kwa matendo yake mema yanayofanyika kwa unyenyekevu na hekima.

Inglés

who is a wise man and endued with knowledge among you? let him shew out of a good conversation his works with meekness of wisdom.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

maana, mbele ya mungu baba yetu, twakumbuka jinsi mnavyoonyesha imani yenu kwa matendo, jinsi upendo wenu unavyowawezesha kufanya kazi kwa bidii, na jinsi tumaini lenu katika bwana wetu yesu kristo lilivyo thabiti.

Inglés

remembering without ceasing your work of faith, and labour of love, and patience of hope in our lord jesus christ, in the sight of god and our father;

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

basi, onyesheni kwa matendo kwamba mmetubu. msianze sasa kusema: sisi ni watoto wa abrahamu. nawaambieni hakika, mungu anaweza kuyageuza mawe haya yawe watoto wa abrahamu!

Inglés

bring forth therefore fruits worthy of repentance, and begin not to say within yourselves, we have abraham to our father: for i say unto you, that god is able of these stones to raise up children unto abraham.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

lakini mtu anaweza kusema: "wewe unayo imani, mimi ninayo matendo!" haya! nionyeshe jinsi mtu anavyoweza kuwa na imani bila matendo, nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo yangu.

Inglés

yea, a man may say, thou hast faith, and i have works: shew me thy faith without thy works, and i will shew thee my faith by my works.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,762,921,041 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo