Usted buscó: viini (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

viini

Inglés

viini

Última actualización: 2022-02-09
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

habari ya kuua viini

Inglés

malinformation

Última actualización: 2022-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

makucha bandia na rangi za kupaka makucha zinaweka kubeba viini.

Inglés

artificial nails and chipped nail polish may harbor microorganisms.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

wakati unatumia vipangusaji vya kuua viini, fuata maagizo kwenye pakiti.

Inglés

when using disinfectant wipes, follow the instructions on the packaging.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

takasa maeneo kwa kutumia kiua viini, kama vile dawa yenye klorini iliyoyeyushwa ya nyumbani.

Inglés

disinfect the surfaces with a suitable disinfectant, such as diluted household bleach.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kuondolewa kwa viini kutoka kwa ngozi kumewezeshwa kwa kuongeza sabuni au dawa kali ya kusafisha majini.

Inglés

removal of microorganisms from skin is enhanced by the addition of soaps or detergents to water.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

matumizi ya kikausha mikono cha hewa vuguvugu hueneza viini hadi umbali wa mita 0.25 kutoka kwenye mashine hiyo.

Inglés

use of a warm-air hand dryer spread micro-organisms up to 0.25 metres from the dryer.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kama vile sabuni, jivu pia ni bidhaa ya kuuwa viini kwa sababu ikichanganywa na maji, hutengeneza mchanganyiko wa alkalini.

Inglés

like soap, ash is also a disinfecting agent because in contact with water, it forms an alkaline solution.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

baada ya kunawa mikono yako na kabla ya kuketi chini, tumia vipangusaji vya kuua viini kupangusa eneo karibu na kiti chako.

Inglés

after washing your hands and before sitting down, use disinfectant wipes to wipe down the area around your seat.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

katika vituo vya petroli/mafuta, tumia glovu au pangusa kishiko kwa kutumia kipangusaji cha kuua viini ikiwa unaweza.

Inglés

at petrol/gas stations, use gloves or wipe down the handle with a disinfectant wipe if you can.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

cdc inapendekeza zaidi kutumia kioevu cha mkononi yenye pombe cha kuua viini vya magonjwa chenye angalau asilimia 60 ya pombe kwa kiasi wakati sabuni na maji hazipatikani kwa urahisi.

Inglés

cdc further recommended using an alcohol-based hand sanitizer with at least 60% alcohol by volume when soap and water are not readily available.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

katika majaribio ya kikliniki, vieuzi vilivyo na alkoholi vilivyo na viungo vya emolienti vilisababisha kiwango cha chini cha mwasho na kukauka kwa ngozi ikilinganishwa na sabuni nyingine za kuuwa viini.

Inglés

in clinical trials, alcohol-based hand sanitizers containing emollients caused substantially less skin irritation and dryness than soaps or antimicrobial detergents.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kuongeza haidrojeni peroksaidi iliyoyeyushwa huzidisha shughuli ya kupambana na uchafu.vieuzi vya mikono vilivyo na angalau 60 hadi 95% ya alkoholi hufaa katika kuuwa viini.

Inglés

adding diluted hydrogen-peroxide increases further the antimicrobial activity.hand sanitizers containing a minimum of 60 to 95% alcohol are efficient germ killers.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

antibodi ni immunoglobulin (ig) zinazozalishwa na b lymphocytes kupambana na viini na vitu vingine vya kigeni na zinatambua molekyuli maalum kwenye viini na kupambana nazo moja kwa moja.

Inglés

antibodies are an immunoglobulin (ig) produced by b lymphocytes to fight pathogens and other foreign objects and they recognize unique molecules in the pathogens and neutralize them directly.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

inapendekeza zaidi kutumia kisafsha mikono chenye kileo angalau asilimia 60 cha kuua viini, lakini ni wakati sabuni na maji haipatikani. katika maeneo ambayo visafisha mikono vyenye kileo cha kuua viini havipatikani kwa urahisi, who hutoa fomyula ya uzalishaji wa ndani.

Inglés

it further recommends using an alcohol-based hand sanitiser with at least 60% alcohol, but only when soap and water are not readily available.for areas where commercial hand sanitisers are not readily available, the who provides two formulations for local production.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hasa, seli t zinazotoka kwa viini vya gm-csf zilizonyesha kupatana na matumizi monositi zinazotoa il-6 ya uvimbe na visababishi ugonjwa kali wa mapafu katika wagonjwa wa covid-19.

Inglés

in particular, pathogenic gm-csf-secreting t-cells were shown to correlate with the recruitment of inflammatory il-6-secreting monocytes and severe lung pathology in covid-19 patients.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

baada ya kumhudumia mgonjwa. kuongezwa kwa kemikali za kuua bakteria kwa sabuni (sabuni "yenye dawa" au "yenye viua-viini") huwezesha bidhaa inayotumika kuosha mikono kuweza kuua bakteria.

Inglés

after patient care.the addition of antiseptic chemicals to soap ("medicated" or "antimicrobial" soaps) confers killing action to a hand-washing agent.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,740,335,028 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo