Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
kwenye miaka ya 1980 hivi, serikali iliwaondoa wakazi wazawa wajulikanao kama marmas kutoka kwenye ardhi yao na kisha kuwakaribisha watu wa kutoka bengali.
during the early 1980s the government evicted the indigenous marmas from their land and settled bengalis there.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kwa mujibu wa ripoti kutoka idhaa ya televisheni ya uingereza channel 4 (iliyotangazwa bila kujali amri ya kuyazuia mashirika ya nje kutangaza habari) umati wa watu ulitupa mawe na kuchoma moto jingo linalomilikiwa na wanamgambo wanaoiunga mkono serikali, wajulikanao kama basij.
according to a report on britain's channel 4 television, (aired in spite of a foreign reporting ban) a crowd threw rocks and set fire to a building that belonged to the pro-government basij militia.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: