Usted buscó: waliobaki (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

waliobaki

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

waaminifu waliobaki ni wachache!

Inglés

the faithful remained are few

Última actualización: 2011-10-26
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wengine 139 walishikiliwa kwenye kesi hiyo wakati waliobaki ama waliachiwa kwa dhamana au kwa utaratibu.

Inglés

139 were detained in the case while the rest were either released on bail or on the run.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ina kadiriwa kuwa kuna jamii 300 tu za macaw wekundu waliobaki katika mazingira ya kibaiolojia ya maya.

Inglés

it is estimated that there are only 300 scarlet macaw families left in the mayan biosphere.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

jijini cairo, mabango yanayotoa wito wa wafungwa wengine wanne wa kisiasa waliobaki katika kesi ya baraza la shura ambao hawapewa msamaha.

Inglés

around cairo, posters calling for the four remaining political detainees from the shura council case not included in the pardon popped up.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mabango yakitoa wito wa kuachiliwa kwa wafungwa wanne wa kisiasa waliobaki katika kesi ya baraza la shura ambao hawakupata msamaha warais uliotangazwa jijini cairo leo.

Inglés

posters calling for the release of the remaining four remaining political detainees from the shura council case who were not included in a presidential pardon popped up across cairo today.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

however, their hata hivyo, watu hawa daima mioyo yao ipo nyumbani kwao, au kwa wazazi au mababu na mabibi zao waliobaki nyuma.

Inglés

however, their attachment remains strong to the home they, or their parents or grandparents, left behind.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

lakini kama mama mkristo anao wajane katika jamaa yake, yeye anapaswa kuwatunza na si kuliachilia kanisa mzigo huo, ili kanisa liweze kuwatunza wajane wale waliobaki peke yao kabisa.

Inglés

if any man or woman that believeth have widows, let them relieve them, and let not the church be charged; that it may relieve them that are widows indeed.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kesho yake umati wa watu wale waliobaki upande wa pili wa ziwa walitambua kwamba kulikuwa na mashua moja tu pale, na yesu hakuingia katika mashua pamoja na wanafunzi wake, ila wanafunzi hao walikuwa wamekwenda zao peke yao.

Inglés

the day following, when the people which stood on the other side of the sea saw that there was none other boat there, save that one whereinto his disciples were entered, and that jesus went not with his disciples into the boat, but that his disciples were gone away alone;

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

tunadai kuachiwa huru waandishi wote walioko gerezani, ikiwa ni pamoja na wanablogu wa zone 9 waliobaki, na kufutiwa mashtaka yote ya kutenda 'jinai' kwa sababu tu ya kuandika habari.

Inglés

immediately free all journalists in prison, including the remaining zone 9 bloggers, and relieve them of all charges for the “crime” of reporting the news.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kisha nikatazama, nikasikia tai akiruka juu kabisa angani anasema kwa sauti kubwa, "ole, ole, ole kwa wanaoishi duniani wakati malaika watatu waliobaki watakapopiga tarumbeta zao!"

Inglés

and i beheld, and heard an angel flying through the midst of heaven, saying with a loud voice, woe, woe, woe, to the inhabiters of the earth by reason of the other voices of the trumpet of the three angels, which are yet to sound!

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

takwimu rasmi za kiserikali nchini moroko zinaeleza kwamba asilimia kati ya 98.7 - 99 za jumla ya watu nchini humo ni waislamu (waliobaki ni kama asilimia 1 ambayo ni wakristo na asilimia 0.2 ambao ni wayahudi), takwimu hizo zinajumuisha pia wazungu wanaoishi moroko.

Inglés

while the official moroccan line is that 98.7-99 per cent of the population is muslim (the remainder being approximately 1% christian and 0.2% jewish), that statistic includes ethnic europeans residing in morocco.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,738,663,499 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo