Usted buscó: yameonyesha (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

yameonyesha

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

maoni ya mwanzo kufuatia habari hii kwenye tovuti ya rfi yameonyesha mitazamo mbalimbali.

Inglés

some preliminary reactions to the news on the rfi website showed a range of opinion.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

maoni ya watu duniani kote kuhusiana na umuhimu na matokeo ya ziara hiyo, yameonyesha kugawanyika mno.

Inglés

the global public opinion about the importance and impact of his tour is sharply divided.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

katika miaka ya hivi karibuni, mashirika ya haki za binadamu yameonyesha kusikitishwa na rekodi inayoendelea kushuka ya haki za binadamu nchini humo.

Inglés

in recent years, human rights organizations have raised concerns over the country's deteriorating human rights record.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

matokeo ya kesi ya ufisadi ya jackie selebi kwa hakika ni maendeleo chanya, kwa sababu yameonyesha kwamba sio wanasiasa wote waandamizi wa chama cha anc wapo juu ya sheria.

Inglés

the outcome of the jackie selebi corruption case is certainly a positive development, because it demonstrates that not all senior anc politicians are above the law.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

na ujenzi ukisimamiwa na mwanzilishi wa bgi wang jian na kukamilika katika siku 5, makadirio yameonyesha visa hubei zingekuwa 47% zaidi na gharama inayoambatana ya kukabili karantini ingeongezeka maradufu ikiwa kiwango hiki cha kupima haingeanzishwa.

Inglés

with the construction overseen by bgi-founder wang jian and taking 5-days, modelling has show cases in hubei would have been 47% higher and the corresponding cost of the tackling the quarantine would have doubled if this testing capacity hadn't come on line.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

pamoja na shuhuda mbalimbali, taarifa, tetesi na mapendekezo, majukwaa ya vyombo vya habari vya kijamii kama vile twita, facebook na flickr yameonyesha picha zinazoonyesha ushiriki mkubwa wa raia katika kumchagua rais ajaye wa jamhuri hiyo.

Inglés

along with testimonies, information, rumors and recommendations, citizen media platforms like twitter, facebook and flickr have shared photos that portray a massive participation to elect the next president of the republic.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ingawa miundo ya kimolekuli na majaribio ya kibayokemia yameonyesha kwamba sars-cov-2 hunata na kuwa ace2, ni vipoi haswa virusi hivi huingia kwenye seli za njia ya kupumua na kusababisha mabadiliko yanayofuata ya kipatholojia?

Inglés

although molecular modeling and biochemical assays have demonstrated that sars-cov-2 binds to ace2, how exactly does the virus enter the airway cells and cause subsequent pathological changes?

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,740,647,530 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo