Usted buscó: jibu la samahani ni (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

jibu la samahani ni

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

jibu la samahani ni lipi

Inglés

what is the answer to that apology

Última actualización: 2024-01-20
Frecuencia de uso: 2
Calidad:

Suajili

jibu moja la samahani

Inglés

one answer to the sanction

Última actualización: 2018-08-18
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

jibu la waambaje??

Inglés

what is the answer for them?

Última actualización: 2024-01-20
Frecuencia de uso: 2
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

jibu la usingizi mwanana

Inglés

Última actualización: 2024-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

jibu la video limekubaliwa!

Inglés

the video response has been approved!

Última actualización: 2024-05-17
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kama mtu aliyekulia hawaai, najua anajua jibu la swali hili moyoni mwake.

Inglés

as someone who grew up in hawaai, i know he knows the answer to this question in his heart.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

pendekezo hili la kipekee ni jibu la kutatua tatizo la utaratibu mrefu na wa gharama wa kubatilisha ndoa.

Inglés

the unique proposal is the group’s answer to lengthy and expensive annulment proceedings in the country.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

jibu la mwajiriwa huyo lilikuwa kwamba ni haramu (imezuiliwa kidini), lakini al-rasheed aliingilia kati akisema:

Inglés

the employee’s answer was that it’s haram (religiously forbidden), but al-rasheed interrupted saying:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kwa jumla, rbd kwenye protini ya s ya cov huingiliana na kipokezi cha seli na huteuliwa kwa kina na jibu la antibodi ya mbebaji.

Inglés

generally, the rbd in the s protein of a cov interacts with the cellular receptor and is intensely selected by the host antibody response.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

jibu la kawaida (mara nyingi likikusudia kuhitimisha majadiliano zaidi) ninalolisikia katika mijadala kuhusu vyombo vya habari vya kijamii ni kwamba watu wengi hawajaunganishwa na mtandao wa intaneti.

Inglés

a common (often intended at ending any further conversation) response that i hear in discussions about social media in tanzania is that most people don’t have access to the internet.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

jibu la ivo jospović: "ninawashukuru! pata keki!”cartoon na nik titanik, iliwekwa mtandaoni kwa ruhusa.

Inglés

here, have a cookie!”cartoon by nik titanik, republished with permission.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

… je hili nalo ni jibu la fumbo kwa kiongozi wa upinzani, kizza besigye, ambaye miezi minne iliyopita aliahidi kuhalalisha ushoga ikiwa atachaguliwa?

Inglés

...might this also be a subliminal response to the leader of the opposition, kizza besigye, for pledging four months ago to decriminalize homosexuality if elected?

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

si zaidi ya asilimia 10 ya wale wanaosikia nikitamka "bahrain" kama jibu la kule nitokako wanaelewa au kuwa na picha kichwani juu ya mahali nchi hii ilipo, lakini hicho siyo hasa kinachonisababishia simanzi.

Inglés

not more than 10% of people who hear “bahrain” as answer have some sort of idea where that country might be, but that’s not my cause of annoyance.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,777,088,213 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo