Usted buscó: kuhukumiwa (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

kuhukumiwa

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

na mwenye kuhukumiwa na mwenyezi mungu kupotea, basi huyo hana wa kumwongoa.

Inglés

and whoever allah leaves astray - there is not for him any guide.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa kuhukumiwa vibaya na makundi yote ya waislamu, hawa ni kundi linalojulikana zaidi.

Inglés

judged unfavourably by all other forms of muslims, these are the second most common kind.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

nini kimeharibika kwenye dunia hii ambapo unamwua mtu na kuishia kuhukumiwa miaka mitano jela?

Inglés

what is wrong with this world in that you kill someone & only get 5 years imprisonment?!

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

nao watafufuka: wale waliotenda mema watafufuka na kuishi, na wale waliotenda maovu watafufuka na kuhukumiwa.

Inglés

and shall come forth; they that have done good, unto the resurrection of life; and they that have done evil, unto the resurrection of damnation.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

bi pay-bayee anakataa kuhukumiwa kwa kuwa ni mlemavu ndiyo maana ataendelea kuitimiza ndoto yake:

Inglés

ms pay-bayee refuses to be judged because of what she is that's why she will keep working on her dream:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hamtakuwa na wa kukulindeni kwa mwenyezi mungu. na mwenye kuhukumiwa na mwenyezi mungu kupotea, basi huyo hana wa kumwongoa.

Inglés

"a day when ye shall turn your backs and flee: no defender shall ye have from allah: any whom allah leaves to stray, there is none to guide...

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

mtu ambaye hajakomaa bado katika imani asifanywe kuwa kiongozi katika kanisa, asije akajaa majivuno na kuhukumiwa kama vile ibilisi alivyohukumiwa.

Inglés

not a novice, lest being lifted up with pride he fall into the condemnation of the devil.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ushoga umezuiwa kisheria katika nchi 38 za ki-afrika na unaweza kuhukumiwa kifo nchini mauritania, sudan na kasikazini mwa naijeria.

Inglés

homosexuality is outlawed in 38 african countries and it can be punishable by death in mauritania, sudan, and northern nigeria.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

"wanaweza kuhukumiwa kwa kutumia ushahidi wa "kukiri" unaopatikana kwa kuwatesa au vitendo vingine vya kinyama."

Inglés

"they may be convicted solely on the basis of 'confessions' obtained under torture or other ill-treatment."

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

mwaka wa 1996, alikutwa na hatia tena na kuhukumiwa tena miaka mingine saba katika jela baada ya yeye kutuma ripoti yenye kurasa 83 kwa umoja wa mataifa kuelezea hali ilivyo mbaya katika magereza ya myanmar.

Inglés

in 1996, he was convicted again to another seven years in jail after he sent an 83-page report to the united nations about the poor prison conditions in myanmar.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kuhukumiwa kwa wafanyakazi 43 wa misri na kigeni katika mashirika yasiyo ya kiserikali na kifungo jela cha hadi miaka mitano, kumeibua hasira kwenye mitandao ya kijamii - na sehemu nyinginezo.

Inglés

the sentencing of 43 egyptian and foreign employees in non-governmental organisations to jail terms of up to five years, has sparked anger on social media networks - and on the ground.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

katika video ifuatayo, soueif, ambaye ni mwanaharakati, anasema wamekuwa wakisimama kwa saa moja wakiwakumbusha watu kuhusu alaa na ahmed abdelrahman, ambao wamekuwa jela baada ya kuhukumiwa kifungo katika kesi ya shura.

Inglés

in this video, soueif, who is an activist as well, says they have been standing for an hour reminding people about alaa and ahmed abdelrahman, who have spent a year in prison after being sentenced in the shura case.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

akipatwa na hatia, igarashi anaweza kuhukumiwa mpaka miaka miwili jela na kutozwa faini inayfofikia yen 2.5 milioni (sawa na dola la marekani 20,900).

Inglés

if convicted, igarashi faces up to two years in jail and fines of up to 2.5 million yen (us $20,900).

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

na kuna wanawake ambao wanaona kwamba kuwa na mimba ni njia pekee ya kukwepa hukumu, kama ilivyotokea mwezi juni, pale mwanamama wa kiingereza aliwekwa ndani na kuhukumiwa kifo huko laos kwa sababu ya kusafirisha madawa ya kulevya akapata ujauzito gerezani na akanusurika kunyongwa, kwa sababu serikali ya laos isingemnyonga mwanamama mjamzito.

Inglés

and there are women for whom it seems that pregnancy is the only way to escape a sentence, as was the case back in june, when a british woman incarcerated and sentenced to death in laos due to drug smuggling got pregnant in prison and escaped being executed, since the laos government would not execute a pregnant woman.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

@linawardani: nimestushwa una kuogopeshwa sana na uamuzi wa #kesiyango watu 11 kuhukumiwa mwaka 1, wengine watano miaka miwili, 27 miaka 5, na kama vile haitoshi mashirika manne yakifungwa

Inglés

@linawardani: shocked & terrified by the #ngotrial verdict 11 sentenced to 1 year suspended 5 to two years and 27 5 years in absentia, 4 ngos closed

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,787,711,063 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo