Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
andikeni barua za kupinga.
write letters of protest.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
maandamano ya kupinga utawala?
protesting against the regime?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kupinga vitendo vya ukatili wa kinjisia
victims of violent acts
Última actualización: 2024-01-11
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
maandamano ya kupinga umasikini jijini skopje.
march against poverty in skopje.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
afrika kusini: kandanda ili kupinga ubaguzi
south africa: soccer against xenophobia · global voices
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
uganda: muswada wa kupinga ushoga ambao hautazimwa
uganda: the anti-gay bill that won't go away
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mapigano wakati wa maandamano ya kupinga kura hiyo ya maoni
violent clashes at anti-referendum protests
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mwezi juni matembezi ya kupinga udhalilishaji wa kijinsia yalishambuliwa.
in june a march against sexual harassment was attacked.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
indonesia: maandamano ya kupinga bei ya mafuta yatikisha majiji
fuel price protests in several indonesian cities · global voices
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
bahrain: mabloga waungana kupinga uamuzi wa kufungwa kwa tovuti
bahrain: bloggers united against decision to block websites · global voices
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
maandamano huko dhaka ya kupinga ubakaji na mauaji ya msichana mzawa.
protests in dhaka against the rape and killing of an indigenous girl.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mamia ya vijana kutoka pakistan walijiunga na kampeni ya kupinga ubakaji.
hundreds of young men from pakistan started standing up to join the hashtag campaign.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kijana akiigiza mkao unaojulikana kama pk, kupinga muswada huo wakati wa mkutano.
a young man assumes the so-called pk body position, otherwise known as planking, against the bill during the rally.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kila siku, kurasa mpya za facebook zinaanzishwa kuunga mkono na kupinga harakati hizi.
every day, new facebook accounts are being opened for and against the movement.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
huko brazil ghasia zilizuka katika siku ya kupinga rushwa kati ya polisi na waandamanaji:
in brazil violence broke out on anti-corruption day between police and protesters:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kwa kuwa hili halikutokea, watu waliamua kuingia mitaani pamoja na facebook ili kupinga hatua hiyo.
when he wasn't they took to the streets and to facebook.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hebu sasa, mniambie lini tutashuhudia miswada ya kupinga talaka, kupinga ndoa za wasio bikra?
tell me, when can we expect to see the #antidivorce, #antimarryanonvirgin and #antibacon bills? — stuart grobbelaar (@stueymax) february 24, 2014
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hatua hizo hazikupendwa kabisa; waandamanaji 10,000 walijitokeza jumapili ili kupinga vitendo vya tandja.
these moves were extremely unpopular; 10,000 protesters came out on sunday to dispute tandja's actions.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hivi karibuni, aliwaongoza wanafunzi katika kuimba wimbo wa zamani wa kupinga ubaguzi wa rangi unaoitwa ua kaburu.
recently, malema led students in singing an old anti-apartheid struggle song called kill the boer.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
("tumechoka!"), maelfu ya raia wa mexico waliishinda hofu yao na kumiminika mitaani kupinga vita hivyo.
("we're fed up!"), thousands of mexican citizens overcame their fear and poured into the streets in protest of the war.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible