Usted buscó: leseni za programu huru za kompyuta (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

leseni za programu huru za kompyuta

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

virusi za kompyuta

Inglés

computer virus

Última actualización: 2015-03-16
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

malengo na huduma za programu

Inglés

the purpose of the matching grant (mg) program is to assist clients to achieve economic self-sufficiency by 180 days

Última actualización: 2023-09-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

haki huru za umma.

Inglés

public domain.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

serikali ya ujerumani iliendesha tukio la kutengeneza programu za kompyuta na washiriki zaidi ya 42.000.

Inglés

german government conducted a 48 hours weekend hackathon with more than 42.000 participants.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

unaweza pia kuharibu na kuuza kompyuta za mapajani, michezo ya kompyuta, nyenzo ngumu za kompyuta na dvd.

Inglés

you can also recycle and sell laptops, video game console, external hard drive, video game or dvd.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

wale walio kwenye bodi hiyo ni wanachama ambao hawana budi kupeleka vitambulisho vyao vya kitaifa na kuonyesha anwani za kompyuta zao.

Inglés

the respondents on the web board are members of the site who must submit their national id card number or show their ip address.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

picha na mtumiaji wa flickr mckaysavage na imetumika chini ya hatimiliki huru za jamii.

Inglés

image by flickr user mckaysavage and used under a creative commons license.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

baadhi za lugha zinakosa herufi za kompyuta zinazowasaidia watumiaji kuandika kwa lugha zao, na sehemu nyingine za dunia bado hazina mtandao wa intaneti, hali inayowafanya watengwe na mazungumzo ya mtandaoni.

Inglés

some languages lack a keyboard that allows users to write in their language, and many parts of the world still lack adequate connectivity, excluding them from the online conversation.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

wanaharakati wanaitaka serikali ya syria kumwachilia huru mara moja mfungwa ambaye ni mhandisi wa programu za kompyuta mwenye asili ya syria na palestina bassel khartabil, anayefahamika pia kama bassel safadi, baada ya kuhamishiwa kutoka kwenye gereza lake kwenda mahali pasipojulika mapema leo.

Inglés

activists are calling upon the syrian government to immediately release imprisoned syrian-palestinian software engineer bassel khartabil, also known as bassel safadi, after he was moved from his prison to an unknown location earlier today.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

lwanda magere, injia wa program za kompyuta, aliwatuhumu waandishi wa muswada huo kutumia mbinu ya “kunukuu bila marekebisho”:

Inglés

lwanda magere, a software engineer, accused its authors of using a "copy-paste" strategy:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

alama maalum ya congressedits, ilitengenezwa na mtaalam wa program za kompyuta ed summers, na ni zana huria inayoweza kurekebishwa kirahisi ili kuwezesha kufuatilia utambulisho wowote wa kompyuta.

Inglés

the code for congressedits, created by programmer ed summers, is open-source software and can be configured easily to watch for anonymous edits from any ip ranges.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

ushahidi kampuni ya teknolojia isiyoendeshwa kibiashara iliyobobea katika kutengeneza zana huru za bure kwa ajili ya kukusanya na kutazama habari pamoja na utengenezaji shirikishi wa michoro.

Inglés

ushahidi is a non-profit technology company that specializes in developing free and open source software for information collection, visualization and interactive mapping.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

rais wa somalia, sharif sheikh akiwa addis ababa, ethiopia, wakati wa mkutano wa 12 wa nchi huru za afrika uliofanyaka feb.

Inglés

somali president sharif sheikh in addis ababa, ethiopia, during the 12th african union summit feb.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

habari mbaya kwa wa-cuba wenye ngozi nyeusi au yenye mchanganyiko wa weusi na weupe ni kwamba hakuna taasisi huru za kisheria itawalinda kutelekezwa na serikali.

Inglés

the worst news for black and mixed-race cubans is that there are no independent legal institutions that protect them in the face of government neglect.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

mwezi wa machi 2020, serikali, tasnia, na vyuo vikuu vitatu vya marekani vilitoa rasilimali ya kufikia tarakilishikuu kutoka ibm, pamoja na rasilimali za kutoa huduma za kompyuta kutoka kwa hewlett packard enterprise, amazon, microsoft, na google.

Inglés

in march 2020, the us government, industry, and three universities pooled resources to access supercomputers from ibm, combined with cloud computing resources from hewlett packard enterprise, amazon, microsoft, and google.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

matukio haya yaliandaliwa na wanahabari daniela silva na pedro markun , ni matukio yenye kiingilio bure na yanatoa fursa kwa watengeneza programu za kompyuta, wanahabari na watafiti kukutana pamoja na kutafuta njia za “kukomba’ taarifa kutoka kwenye tovuti rasmi za ofisi na kutengeneza applications ambazo zitaweza kuleta uwazi na ushiriki kwenye mchakato wa siasa.

Inglés

organized by journalists daniela silva and pedro markun , the event has free entry and is an opportunity for software developers, journalists and researchers to gather together to find ways to “scrape” data from official websites and create applications that bring transparency and participation to the political processes.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

mwaka 2006, mtengeneza program za kompyuta aitwaye goran slakeski alianzisha tovuti za slikicki.com ambazo zimekuwa kitovu cha jamii ya watu wanaopenda kubadilishana 'stika', akipanua wigo mara chache kwenda kwenye matukio halisi mtaani kama hili lililofanyika.

Inglés

in 2006, local programmer goran slakeski founded the website slikicki.com which has been the center of an online sticker exchange community, extending its reach with occasional offline events such as this one.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

sifa za kompyuta hiyo ni kama ifuatavyo : mfumo wa ufanyaji kazi (operating system): ubuntu (zana huru) uwezo wa kutafuta ni 1.4 g hertz 1gb ram bei : 171000 fcfa (tsh 650,000 hivi)

Inglés

the basic specifications of the pc are: operating system: ubuntu (open source) 1.4 g hertz microprocessor 1gb ram unit pricing : 171000 fcfa (260 euros)

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Obtenga una traducción de calidad con
7,800,577,475 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo