Usted buscó: luanda (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

luanda

Inglés

luanda

Última actualización: 2014-09-18
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

mji mkuu wa angola, luanda, ni mji aghali sana.

Inglés

the capital of angola, luanda, is a very expensive city.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

angola: gharama za juu za maisha mjini luanda

Inglés

angola: the high cost of living in luanda · global voices

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

picha ya soko mjini luanda na mtumiaji wa flickr bramirez37, cc

Inglés

market in luanda by flickr user bramirez37, cc

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

serikali ya luanda inapanga kulihamisha soko hilo kutoka sambizanga kwenda panguila, karibu kilomata 30 kaskazini mwa luanda.

Inglés

the luandan government plans to move the market from the sambizanga to panguila, located nearly 30 kilometers to the north of luanda.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

baada ya hayo, akijisikia kutishiwa mjini luanda, alitafakari na kumdokeza siri hiyo kwa rafiki kuwa alitamani kurudi nyumbani.

Inglés

afterwards, feeling threatened in luanda, she considered and confided to a friend that she desired to return back home.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

kwa mujibu wa tafiti iliyofanywa mwezi wa pili na kampuni ya kiingereza, eca international – mji wa luanda ni wa kwanza kati ya miji ghali kupita yote duniani.

Inglés

according to a survey conducted in february by an english company, eca international - luanda ranks first among the most expensive cities in the world.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

katika mitandao ya kijamii vuguvugu lililipuka kuzishinikiza mamlaka za nchi ya guinea kuchunguza mazingira ya kupotea kwa mwandishi huyo na mhadhiri wa chuo kikuu miezi sita liyopita katika jiji la luanda, alikokuwa akiishi tangu mwaka 2004.

Inglés

on social networks a movement sprung up to pressure guinean authorities to investigate the disappearance, six months ago, of the journalist and university professor in the angolan capital city luanda, where she has lived since 2004.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

kwenye blogu ya rispito , raia wa guinea samba bari anadhani kuwa kutoweka kwa mwandishi huyo ni changamoto nyingine kwa serikali ya mpito na kuwa hali hiyo inaweza kuongeza misuguano kati ya serikali ya guinea isiyotambuliwa na luanda na serikali ya angola.

Inglés

on the blog rispito , the guinean samba bari alleges that the disappearance is another challenge for the transitional authorities and that the situation could widen the fissure between the guinean government not recognized by luanda and the angolan government.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

mnamo novemba 3,sindicato dos jornalistas angolanos (umoja wa waandishi wa angola) ulidai kwamba mwandishi wa guinea "amefanyiwa ugaidi" jijini luanda:

Inglés

on last november 3, the sindicato dos jornalistas angolanos (union of angolan journalists) denounced that the guinean journalist had been “terrorized” in luanda:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,788,049,871 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo