Usted buscó: mfululizo wa drama (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

mfululizo wa drama

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

kiitwe mfululizo wa matukio ya bahati mbaya

Inglés

@fingerray @263chat @cchabikwa @chrisnqoe @cynicharare @deltandou @phirimarko @rangamberi @sirnige @teldah "a series of unfortunate events" — conor walsh (@conormwalsh) april 30, 2014

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

mfululizo wa tamthilia ya runinga ya nchini tanzania

Inglés

the team tanzania tv drama series · global voices

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mfululizo wa jumbe za twita zilizotumwa saa moja baadaye ziliripoti:

Inglés

a series of tweets sent an hour later reported:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mfululizo wa tuhuma uliibuka wakati chama cha fjp kilipotoa tamko :

Inglés

the series of accusations erupted when the fjp issued a statement :

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

katuni ya zunar: raia wa kawaida asilimia 6, serikali mfululizo wa 7

Inglés

cartoon zunar: rakyat 6%, govt 7 series pic.twitter.com/wnsnc02aey — zunar cartoonist (@zunarkartunis) april 9, 2015

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

a mfululizo wa mauaji yaliyotekelezwa kuanzia mwaka 2012 umefafanuliwa vizuri katika makala haya.

Inglés

a timeline of the organization's killings from 2012 is detailed in this post.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

the team tanzania (timu tanzania) ni mfululizo wa tamthilia ya runinga yenye kuzungumzia:

Inglés

the team tanzania is a tv drama series about:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

januari 24, misri ilikabiliwa na mfululizo wa milipuko iliyoua watu sita na wengine 70 walijeruhiwa huko cairo.

Inglés

egypt woke up on january 24 to a series of four explosions, which left six dead and over 70 wounded in cairo.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

that african girl ni blogu yenye mfululizo wa makala zilizoandikwa na waafrika duniani kote kuhusu maisha yao ya utotoni.

Inglés

that african girl is a blog with a series of posts written by africans around the world about their childhood.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

alltimenews walikuwa wametabiri uteuzi wa henri na pia kuongeza mfululizo wa mafaniko yake na kuangazia sehemu nyingine alikowahi kuwa kocha.

Inglés

alltimesnews had earlier predicted henri michel's appointment and also posted his successes and previous postings:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kutoka bahrain, ammar al aradi, anawtiti mfululizo wa utani wa siku ya wajinga, ambao watu wengine walidhani ni kweli.

Inglés

from bahrain, ammar al aradi, tweets a series of april fool's jokes, which some people took seriously.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hata hivyo, pia vinahusiana kwa njia sawa kwa karibu na ratg13 kwa takriban 90% ya utambulisho katika ngazi ya mfululizo wa nukleotidi.

Inglés

however, they are equally closely related to ratg13 with about 90% identity at the level of nucleotide sequence.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

maagizo hayo, yaliyodakwa na china digital times, yanaorodhesha mfululizo wa amri ambazo zinaghasi kiasi kwa vyombo vya habari vinavyotangaza habari za google.

Inglés

the instructions, nabbed by china digital times, outline a series of rather disturbing edicts to media outlets that are covering the google story.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

haki miliki zilizotajwa na machapisho mbalimbali ya mitandao ya kijamii zinarejelea haki miliki zilizopo za mfululizo wa kijentiki na chanjo kwa aina nyingine ya virusi vya korona kama vile virusi vya korona vya sars.

Inglés

the patents cited by various social media posts reference existing patents for genetic sequences and vaccines for other strains of coronavirus such as the sars coronavirus.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

huu ni mji wa pwani na bandari jimboni patagonia wenye miamba, ndege wakubwa na utajiri wa viumbe na mfululizo wa safari za pwani unaokufikisha kwenye eneo linalofahamika vizuri zaidi la ria.

Inglés

this is a coastal and port city in the patagonia with cliffs, a large amount of biodiversity with birds and mammals and a series of coastal tours that takes us to the very well known ria.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kenya imekumbwa na mfululizo wa mabomu tangu majeshi ya nchi hiyo yaingie somalia kupambana na kikundi cha kigaidi cha al shabaab kwa kile kiichoitwa “operesheni linda nchi”.

Inglés

kenya has been hit with a series of bomb and grenade attacks in kenya since the country's military incursion into somalia against al shabaab dubbed “operation linda nchi” (swahili for “operation defend the country”).

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

aliwaji kuishi na kufanya kazi nchini uganda, afrika ya mashariki, ambapo wa kushirikiana na mtu mwingine aliandaa na kuongoza mfululizo wa makongamano kuhusu maendeleo baada ya vita kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vya marekani na afrika.

Inglés

she previously lived and worked in uganda, where she co-developed and directed a series of conferences on post-conflict development for american and african college students.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

katika mfululizo wa twiti zake, zain anaeleza kwamba mwanae huyo, anayedai kuwa alipigwa risasi, anaishi na mama yake kwenye kijiji fulani eneo la deraa, na anahitaji matibabu kuokoa maisha yake.

Inglés

in a series of tweets, zain explains that his son, whom he claims was recently shot at, is with his mother in a village in deraa, and needs medical attention.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hata hivyo, mwaka uliopita umekuwa mgumu kwa watu wa najeria walio ughaibuni: katika miezi michache iliyopita, mfululizo wa matukio yanayoionyesha naijeria katika mwanga wa utata ulizua majadiliano kwenye ulimwengu wa blogu.

Inglés

however, the last year has been especially hard on nigeria's reputation abroad: over the past few months, a series of events depicting nigeria in a questionable light have triggered discussions throughout the blogosphere.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

gazeti la caracas lilichapisha mkusanyiko wa twiti kutoka kwa mtumiaji wa mtandao wa twita aitwaye héctor rotunda (@hecalo), anayeelezea mfululizo wa matukio tangu génesis carmona alipopigwa risasi mpaka alipopoteza maisha yake.

Inglés

a caracas newspaper has published a collection of tweets from the user héctor rotunda (@hecalo), who narrates the events from the moment génesis carmona received the gunshot wound until her death.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,780,330,257 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo