De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
dalili nyingine zisizo za kawaida ni pamoja na matatizo ya kupumua, maumivu ya koo, kuumwa na kichwa, maumivu ya misuli, au kutoa makohozi.
other less common symptoms include shortness of breath, a sore throat, headache, muscle pain, or sputum production.
wanachunguza bidhaa zaidi ili kuona kama zinafaa kufungwa kama vidonge, tembe, aerosoli, dawa ya kudungwa kwenye misuli, dawa ya kudungwa kwenye ngozi, au mchanganyiko wa kudungwa.
they further examine the product for suitability to package as capsules, tablets, aerosol, intramuscular injectable, subcutaneous injectable, or intravenous formulations.
ace2 inapatikana katika viungo vingi: ace2 imeambatishwa kwenye utando wa seli za alveola aina ii za mapafu, enterosaiti ya utumbo mdogo, mishipa na seli za mwisho za vena na seli za mishipa laini ya misuli katika viungo vingi.
ace2 is present in most organs: ace2 is attached to the cell membrane of mainly lung type ii alveolar cells, enterocytes of the small intestine, arterial and venous endothelial cells and arterial smooth muscle cells in most organs.
"sisi ni kundi la watu walioathirika, moja kwa moja na ulemavu au ugonjwa nadra, tumeungana na lengo moja - kuboresha maisha ya wale walioathirika", alisema eduard carreras, mgombea wa kundi hilo, kijana mwenye umri wa miaka 25 kutoka girona, hispania, anayeugua ugonjwa wa kudhoofu kwa misuli.
"we are a group of people affected, directly or indirectly, by a disability or rare disease, united by a common goal — improving the lives of those affected," said eduard carreras, the group's candidate, a 25-year-old young man from girona, spain, suffering from degenerative muscular dystrophy.